Tuesday, September 13, 2011

Serikali Haijui Nani Mmiliki wa MV Spice Islander

Makaburi yaliyochimbwa Zanzibar kwa ajali ya maiti ya waliofariki katika ajali ya meli MV Spice Islander. Picha imepigwa na Khalfan Said
Wadau, ni aibu kuwa serikali ya Zanzibar eti haijui nani mmiliki wa meli iliyozama pwani ya Zanzibar MV Spice Islander. Ina maana kuwa walikuwa hawalipi kodi? Nani alikuwa anawalipa wafanyakazi wa meli? Hela ya tiketi na mizigo ilikuwa inaenda wapi? Nani alilipa hiyo hongo ya 3M/- T.shs. ili meli iondoke bandari ya Zanzibar ikiwa imejaza kupindukia?

Kuna watu pale mamlaka ya bandari na serikalini wanaostahili kujiiuluzu! Miili yao imepakwa damu ya marehemu waliokufa katika ajali ya MV Spice Islander!

*******************************************************************

Maritime Tragedy in East Africa


Zanzibar government denies knowledge of owners of sunken ferry


By Dr. Wolfgang H. Thome, eTN Uganda
Sep 12, 2011

(eTN) - In an extraordinary, though not unprecedented turn of events, the government of Zanzibar has reportedly denied having any knowledge of the registered owners of the MV Spice Islander. The Spice Islander is the ferry between Unguja - commonly referred to as Zanzibar - and Pemba, that capsized and sunk on September 10, 2011 with over 600 or 800 people on board - the number has yet to be determined - leaving scores of passengers dead in the water and others struggling to survive by clinging on to debris until they could be pulled out of the water by rescuers.

Registration and licensing of ocean going vessels, however, has been confirmed to be a function of government by tourism stakeholders, one of whom said this in an email overnight:

"This is not just unreal but almost mocking those seeking answers, those who lost relatives on the islands. How can a government claim not to be aware of the owners and it is the same government giving them a license.

"We are also disturbed about conflicting figures, some of which put the total passengers to over 800 and then government mouthpieces try to shrink these figures to within the licensed number. What is going on here?

"The tragedy was avoidable if only rules were enforced. There is notorious corruption across all outlets of public services, and they are now just trying to whitewash the whole thing.

"It is high time that government brings us new safe ferries, which can be used to travel from one island to the other without risking our lives every time one sets foot on board."

The central government in Dar es Salaam did, according to media reports, release 300 million Tanzania Ssillings to assist bereaved families with funeral expenses.

The official number of casualties was given by a Zanzibar government spokesperson as just under 200 with nearly 600 survivors, which would put the overall number of passengers on board well over the licensed figure permitted. There is also no certainty over the number of bodies not yet recovered, as apparently no complete passenger manifest was produced prior to the ferry leaving for its last ill-fated journey to Pemba.

Reconciling survivors and casualties is, therefore, literally impossible for the authorities in Zanzibar. It is understood that Kenyan authorities are now also keeping a watch along the shores from across the Pemba Channel, in case any bodies would be spotted across the international border.

A legal aid organization is planning to sue Zanzibar's government and others involved for negligence.


MV Spice Islander at the Zanzibar Port in 2009


2 comments:

Anonymous said...

Ni kawaida yetu wakuu,hapo tutapeana salamu za rambirambi,tutapeana pole,tutajenga na minara ya kumbukumbu,tutafanya uchunguzi usiokuwa na tija nk,nasima uchunguzi usiokuwa na tija kwa maana kwamba hii si ajali ya kwanza...kwa mwezi huu tu Tanzania inaweza kuwa imepoteza watu wasiopungua 1000 kwa ajali...tena hizi ni zile ambazo tunapata taarifa zake.....kama kawaida viongozi wetu wanatoa salamu za rambirambi kwa wafiwa na kuwapa pole majeruhi...Najiuliza maswali mengi sana na sipati majibu exactly what happens in Tanzania currently...ni kama kuna laana inakula taifa hili na sisi hatuna habari.....Baada ya kuzama meli ya MV Bukoba serikali ilisema itafanya campaingn safisha usafiri wa majini...ni kweli kwa kipindi cha miezi michache meli na boti kadhaa zilifungiwa kufanya biashara...lakini kama kawaida ya Watanzania baada ya kusahau yale machungu tukarudi kulekule...boti na meli zimechoka,zina kutu na zinabeba watu zaidi ya uwezo wake ambacho ndio inasemekana ni chanzo cha hii ajali ya Zenji...Unaweza kuwalaumu wasafiri kwamba kwanini walikubali kupanda meli ambayo tayari ina mzigo mkubwa..jibu ni wazi NI UMASKINI WA WATANZANIA usafiri wa taabu,ukikosa meli moja unatakiwa usubiri siku mbili au tatu,kwanini watu wasijazane?

Anonymous said...

Anayemiliki ni Rais wa Jamhuri ya Muungano. Ofkozi hawawezi kusema kuwa meli ya rais ndo imeua!