Thursday, September 15, 2011

Meli Sea Bus ya Azam Imekwama Baharini Nungwi!

UPDATE:  Meli ya Sea Bus ilikuwa inatoka Pemba kwenda Zanzibar wakati ilikwama. Imerudi salama bandarini Pemba.
Hata wiki haijapita tangu ajali ya MV Spice Islander, leo kuna habari kuwa Meli iendayo kasi Sea Bus ya Azam Ferry imekwama zaidi ya masaa manane nahari Nungwi pwani ya Zanzibar! Habari zinasema imekwama pale karibu na ilipozama MV Spice Islander.

Nitawapa updates nikipata.

Kaka Michuzi naya ametoa taarifa:  BOFYA HAPA:

No comments: