Saturday, September 10, 2011

Historia ya meli MV Spice Islander

Spice Islander I under tow by USS Stout in 2007
Kumbe meli MV Spice Islander ulikuwa Mkweche.  Mnaweza kusoma historia yake HAPA:

1 comment:

Anonymous said...

Du inasikitisha yaani mpaka Meli bado tunapata mitumba (second hand)
Meli imeundwa mwaka 1967 bado inaruhusiwa kusafirisha abiria? hii hatari kweli. Mungu awalaze marehemu mahala pema peponi..Amin