Thursday, February 16, 2012

Chupi Bomber Afungwa Maisha

Umar Farouk Abulmutallab baada ya kukamatwa na FBI
Yule kijana MNigeria, aliyejaribu kulipua ndege na bomu alivaa ndani ya chupi yake siku ya Krismasi mwaka 2009 amepata kifungo cha maisha.  Umar Farouk Abdulmutallab, alikuwa na miaka 25 alivyojaribu kulipua hiyo bomu ya chupi. Haikulipuka kama alivyotarajia na badala yake kaunguza nyeti zake, bolo na mapumbu!  Hivi ni mwanaume gani wa kiafrika asiyethamini nyeti zake?! Alikuwa tayari kujiua na kuua watu wengine eti kwa ajili ya dini! Atakuwa punguani huyo, wala si dini. Mwache akae huko gerezani maisha atakuwa mke wa Big Bob.***********************************


DETROIT (AP) — A Nigerian man on a suicide mission for al-Qaida was sentenced Thursday to life in prison for attempting to blow up an international flight with a bomb in his underwear as the plane approached Detroit on Christmas 2009.

The mandatory punishment for Umar Farouk Abdulmutallab, the well-educated son of a wealthy banker, was never in doubt after he surprised the courtroom and pleaded guilty to all charges on the second day of trial last fall.

Abdulmutallab sat with his hands folded under his chin, leaning back in his chair as the sentence was announced.

In October, Abdulmutallab said the bomb in his underwear was a "blessed weapon" to avenge poorly treated Muslims around the world. It failed to fully detonate aboard an Amsterdam-to-Detroit flight but caused a brief fire that badly burned his groin. Passengers pounced on Abdulmutallab and forced him to the front of Northwest Airlines Flight 253 where he was held until the plane landed minutes later.

BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI!

7 comments:

Anonymous said...

Baba yake kamsomesha shule za maana. Lazima kahuzunika sana.

Anonymous said...

Nasikia jamaa sehemu zake za siri zilikaangwa vibaya sana na lile bomu wakati akiwa katika harakati za kulilipua.

Anonymous said...

dada yabgu leo umenichekesha kweli...eti huyo kijana atakuwa mke wa big bob....yaani hapa mbavu sina

Anonymous said...

Sisi Wakristo tunafundishwa kuwa Mungu ni Pendo. Tunafundishwa kuwapenda jirani zetu kama nafsi zetu wenyewe. Tunafundishwa kuwaombea wanaotutendea mabaya.

Sijawahi kuona andiko lolote kwenye dini ya waisilamu linalosema Mungu wao ana upendo. Kila muumini wa kiisilamu aliyebobea huwa anaishia kuwa kama huyu kijana. Nahisi ni matokeo ya dini isiyokuwa na upendo. Dini inayofundisha kupigana au kuuwa muda wote. Haya ni matokeo

Anonymous said...

Wewe anony February 17, 2012 7:35 AM acha kuleta chuki za kidini humu. Unapaswa kuelewa kuwa ugaidi hauna dini wala rangi. Watu kama Osama bin Laden na huyo Umar Farouk Abdulmutalab wanatumia tu dini kuhalalisha uendawazimu wao. Hawa ni vichaa kwa kuwa hakuna sehemu yoyote katika mafundisho ya Kiislamu inayoruhusu kuua binadamu asiyekuwa na hatia. Yule kichaa wa Norway Anders Behring Breivik aliua zaidi ya watu 70 wasiokuwa na hatia mwaka jana na amesema wazi kuwa alifanya hivyo katika kuutetea Ukristo dhidi ya Uislamu pamoja na kwamba karibu wote aliowaua walikuwa ni Wanorway na Wakristo wenzake. Ni ujinga kwa mtu yeyote kuuchukia Ukristo au Wakristo kutokana na kitendo cha mwendawazimu huyo anayejiita mtetezi wa Ukristo.

Anonymous said...

Kweli punguani huyo! Si mwanaume tena kweli anafaa tu kuwa mke wa mtu! Big Bob atafaidi.

Anonymous said...

Kinachonishangaza kuhusu hawa waisilamu ni kuwa hawatumii hasira zao kuwaelekeza wenzao wanaofanya maovu kama huyu kijana. Lakini wako makini kushambulia maoni yanayotolewa dhidi ya dini yao kwa nguvu zote.

Asilimia 99.99 ya magaidi wote ni waisilamu. Sasa sijui wanapinga nini. Anayeefanya dini yenu ichukiwe duniani kote ni nyinyi wenyewe ambao hamjielekeze nguvu na juhudi zenu kuwafundisha vijana wenu maadili ya kweli.

Kila kukicha mmjekita kwenye maandamano na malumbano yasiyo na tija yoyote.