Saturday, February 25, 2012

Kuna GAS Pwani Ya Tanzania!!!

HOUSTON—Exxon Mobil Corp. and Norway's Statoil ASA said Friday a recent discovery off the coast of Tanzania has proved to hold large quantities of natural gas, further cementing the idea that East Africa could become an exporter of liquefied natural gas to Asian markets. 

Analysis of the Zafarani discovery in Block 2 offshore Tanzania showed it holds up to five trillion cubic feet of natural gas, the companies said in a press release. The gas find was announced a week ago.

The drilling success is good news for several East African countries, where offshore oil and gas exploration is picking up speed and prospecting results have been encouraging. Italy's Eni SpA and Anadarko Petroleum Corp. of the U.S. have made large discoveries in neighboring Mozambique. BG Group PLC last year also made a discovery in Tanzania. 

"This discovery is...an important event for the future development of the Tanzanian gas industry," Tim Dodson, Statoil's executive vice president for exploration, said in prepared remarks. Statoil is the operator of the block with a 65% interest, while Exxon Mobil has the remaining 35%.

The discovery was the second large gas find Exxon Mobil announced in recent days. On Wednesday, Exxon and its partners exploring for hydrocarbons in the Black Sea unveiled a potentially large natural gas discovery. The Domino-1 exploration well, located in the Neptun Block, encountered 70.7 meters of net gas, implying the field can hold between 1.5 trillion and three trillion cubic feet of natural gas. OMV Petrom SA, a subsidiary of the Austrian oil-and-gas company OMV AG, and Exxon Mobil each hold a 50% interest.
The discovery—the first one offshore Romania—is significant as it opens a new frontier. But production is still several years off, according to OMV Petrom. The field lies in an area awarded to Romania in 2009 by the International Court of Justice after a decades-old dispute with Ukraine.

—Katarina Gustafsson contributed to this article. 

Write to Isabel Ordonez at Isabel.ordonez@dowjones.com

8 comments:

HK said...

My American friend fwded this to me, saying:

Is this for true? Tanzania gets 10%??

Statoil makes major gas find off Tanzania

Norwegian oil group Statoil and US company ExxonMobil have together discovered a large natural gas field off the coast of Tanzania, Statoil announced on Friday.

The field's gas reserves are estimated at about 140 billion cubic metres, it said.

The size of the deposit could turn out to be bigger, since the field's exact contours have not yet been fully determined and exploratory drilling is still underway, Statoil spokesman Bård Glad Pedersen told AFP.

"The well has encountered 120 metres of excellent quality reservoir with high porosity and high permeability. The gas-water contact has not been established and drilling operations are on-going," the company said in a statement.

This is Statoil's fifth major oil or gas discovery in the past year, after large fields were found in the North and Barents seas and off of Brazil.

Statoil, which holds the operating licence off Tanzania, owns 65 percent of the field and ExxonMobil 35 percent. Tanzania Petroleum Development Corporation will be entitled to 10 percent of the project once it enters into operation.

Anonymous said...

Hiyo gesi itafisadiwa tu kama wajanja wanavyoifisadi dhahabu.

Anonymous said...

Ni yaleyale tu,ile gesi ya songosongo imeundiwa kampuni ya songas ambayo "inaiuzia umeme tanesco" tusubiri shubiri nyingine hii wabongo.

Anonymous said...

Chemi, maoni yako ni mazuri sana lakini kwa bahati mbaya ni wishful thinking.

Kwa viongozi tuliokuwa nao hiyo gesi itawanufaisha Watanzania wachache sana, tena sana (hawa ni wale watakaoingia mikataba kwa niaba ya serikali na watu wao wa karibu) pamoja na hao watakaokuwa wakiichimba.

Tumeliona hili katika mikataba ya madini. Mikataba hii ya kifisadi imewaingizia watu wachache fedha ambazo hawajui wazifanyie nini. Utajiri wa kutisha wa baadhi ya maafisa wa serikali ni kielelezo cha jinsi rushwa ilivyoota mizizi Tanzania.

Tanzania ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa dhahabu na madini mengine ya thamani duniani lakini bado watoto wetu wanakaa chini shuleni, huduma za jamii bado ni duni sana na miondombinu ndio usiseme.

Anonymous said...

Acha tuliwe tu kwani hatuna akili hata kidogo .Hiyo inatakiwa kuanzia siku hiyo ya uchimbaji wa Gas hio kila mtanzani aawe anapata SOCIAL SECURITY kama Wazungu wa Norway, na nchi zingine za Scandinavia .

Watanzania tusikubali hata kidogo, huo mkataba usikubalike watu hao wachache waliokubali huo mkataba watakufa na Gas hio itachimbwa hata zaidi ya miaka 200 ijayo ,hicho ni kizazi cha kesho wasilete tamaa za kijinga

Anonymous said...

Weee mjamaa wa wa socialsecurity unafikiri hilo hao viongozi wasio kwenda shule wanaelewa kwa sababu wote ni kutoka familia za kimasikini ,wala hawaelewi nini democrasy. Wao wako mbele kujinufaisha kivyao na familia zao ili wanyanyase wabongo. Kwani kwanza sisi hapo taz hatuna sheria na kama tunayo hio hio sheria inaweza ikageuzwa kuwa sheria nyingine . Hawajali SHULE; AFYA;UMEME;USAFIRI;MIUNDO MBINU NA KADHALIKA wao wanajua tu kula bila kujali mtoto wa jirani amekula nini wala ataenda vipi shule!. hayo mawazo kwa viongozi wetu hakuna lazima uwe mtoto wa KIKWETE au Mtoto Wa Makamba,sumaye,au Kawawa.Cha ajabu hata watoto wa Nyerere siku hizi wamewekwa pembeni kwani ni mafala hawakujua kutumia wadhifa wa marehem baba yao
jamani Tanzania amkeni hioo nchi inamuhusu kila mmoja wetu sio kwa ajili ya watu kadhaa tu. Matibabu, elimu na vinginevyo ni kwa kila mtanzania. HIO PESA ITAKAYOPATIKANA HAPO NI NYINGI SANA KIASI AMBACHO INAWEZA KUMFANYA KILA RAIA KUFAIDIKA na sisi tukaweka alama ya duniani kama DUBAI.

Tuangalie kinachoikuja , lakini lazima vita itokee ndio tutaheshimiana wote viongozi na wananchi, kama RWANDA , hivi sasa huko ni heshima kwenda mbele na hakuna kunyanyasana tena . RWANDA IWE MFANO

Mwananchi mzalendo said...

Hiyo gas tusiwe na papara nayo-ichimbuliwe kwa manufaa ya taifa hili "for the benefits of tanzanians and not otherwise" tukiulowanya tena kama kwenye madini Tanzania itakufa fukara wa kutupwa(poverty striken-masikini wa mwisho)

Anonymous said...

Viongozi wetu wakienda nje huulizwa swali moja tuu ambalo huwaacha waking'aa macho: WHY IS TANZANIA POOR?