Friday, July 13, 2012

Mazishi ya Marehemu Patrin Kibelloh Boston Leo

Baadhi ya  ndugu na marafiki waliofika kaburini kumzika marehemu Patrin Kibelloh leo mchana  (7/13/12) katika makaburi ya Gethsemane Garden iliyoko West Roxbury, MA. Sheikh alisema kuwa Gethsemane ndo makabnuri pekee Massachusetts yanayo ruhusu mazishi za kiislamu. Marehemu alizikwa kwa mila na desturi zote za Kiislamu.

Ina lilah wa ina ilayhi raji'oon

 Kwa Picha zaidi BOFYA HAPA:

3 comments:

Anonymous said...

Salaam Ndugu,Jamaa na Marafiki wa Marehemu poleni kwa msiba uliowakuta Inshaallah tumuombe Mweyezi Mungu amlaze mahali pema,na Wafiwa awape Subra katika kipindi hiki kigumu.Kwake tume toka na kwake tutarejea.Ameen.

Anonymous said...

When in America do as Americans do! Ubaguzi wa nini? Heko na nadhani hata marehemu angefurahi kusikia wanawake na wasio waiislamu waliwepo.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Poleni jamani. Apumzike kwa amani...