Thursday, July 12, 2012

Mazishi ya Patrin Kibelloh yatakuwa Ijumaa, Kesho July 13, 2012

Patrin Kibelloh 1963-2012

 Wadau hii ni taariffa niliyopata jioni hii:

Mazishi ya marehemu Patrin Kibelloh, yatafanyika kesho Ijumaa, Julai 13, 2012 saa saba mchana baa ya sala ya Ijumaa kwenye mskiti  100 Malcolm X Boulevard, Roxbury MA 02120 (Islamic Society of Boston).

Maziko yatakuwa  Gethsemane Cemetery 670 Baker St., West Roxbury, MA 02132.

Baada ya kutoka makaburini, watu wataelekea nyumbani kwa marehemu 5 Warden St.  Saugus, MA 01906.


Rest in eternal peace dear Patrin.

No comments: