Tuesday, July 10, 2012

Mbunge Frank ndiye wa Kwanza Kufunga Ndoa ya Kishoga!

Mbunge wa Massachusetts, Barney Frank amekuwa mbunge wa kwanza kufunga ndoa ya kishoga Marekani. Frank, mbunge wetu mpendwa wa miaka mingi hakuficha ushoga wake.  Aliwahi kuwa na skandali ya kutembea na malaya wa kiume na pia kutembea ma kijana wa kiume ambaye alikuwa intern Bungeni.
Mbunge wa Massachusetts Barney Frank (kulia) na mke wake Jim Ready

 
Congressman Barney Frank (D-MA) (72) married  longtime partner, Jim Ready (43) this past weekend . The couple got hitched Saturday at the Newton Marriott in a ceremony officiated by Governor Deval Patrick , and attended by Representatives Nancy Pelosi , Dennis Kucinich , and Steny Hoyer , and Senator John Kerry .

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:

Kwa picha zaidi ya arusi yao BOFYA HAPA:

6 comments:

Anonymous said...

Ukisoma hiyo habari ya kiingereza bila kuwa na background information utajuaje yupi bwana na yupi mke?

emu-three said...

Hivi tunayaonaje maandiko,hebu turejeeni enzi ya Sodoma na Gomora, au tunaona kama hadithi za paukwa pakawa...mungu wangu tuepushie na balaa hilo

Anonymous said...

Tunaelekea kwenye maangamizo ya Gomola na Sodoma,hili ni jambo la kusikitisha sana.Kufuru hizi ndiyo sababu maafa mengi yanatupata,sasa kama congressman ni shoga Viongozi wa Africa watalazimishwa Ushoga wakitaka misaada.Wakati umefika kwa Watawala kuacha kuiga na kutegemea misaada.

Anonymous said...

Hata kuwangalia mashoga hawa unajisikia kichefu-chefu na kinyaa,wazazi wenye watoto hapa Ughaibuni tumuombe sana Mwenyezi Mungu na balaa hili.Binaadamu tumevuka mipaka ya kukufuru,huwezi kuona wanyama madume[mbuzi-beberu au bull likimpanda dume mwenzie]ni biaadamu tuu tuliokuwa na vituko hivi.

Anonymous said...

What consenting adults do behind closed doors is none of anybody's business! So what if gay people get married? Why is it such a big deal? They're not hurting anybody in the process. Let's just let them be! Sexual orientation is sexual orientation. There are even homosexual animals [other than humans] out there~ it's been proven by scientists.

Anonymous said...

Miaka 72 jamani? Huyo babu hakuwahi kuoa kabla?

Kweli wenzetu mmendelea, manake naona kuna wanaotetea dhahama hii kwa bidii kabisa...