Saturday, July 07, 2012

AKrimu Mtoto Halafu Adai Kazaa na Mhindi!

Huko Zimbabwe kuna mambo! Mama moja kakrimu mtoto wake ili aonekane shombe halafu kaenda kwa mhindi kudai yeye ni baba.  Nia yake ilikuwa kumtapeli huyo mhindi ili kupata pesa! Huyo mama kaolewa lakini katembea nje ya ndoa yake na mhindi.

Natoa pole kwa huyo mtoto! Kuwa creamed mwili mzima unaweza kumletea madhara ya afya kama kansa ya ngozi.  

Huyo mama na mue wake wanashitakiwa mahakamani kwa kosa la utapeli.

*******************************************
HARARE, Zimbabwe (AP) - Prosecutors in Zimbabwe say a fraud trial is set to hear claims a black baby was treated with skin-bleaching cream to extort money from a man of Asian descent.

Prosecutor Malvern Nzombe said a court in the second city of Bulawayo on Friday ordered a Zimbabwean woman and her husband to reappear for trial at a date to be set in August.

   He said it is alleged they wanted the baby to appear that it was of mixed race in a plot to "reap financial benefits" from the light-skinned man with whom the woman had an affair.

   Her husband is accused of helping plan the scam, Nzombe said.

   In Zimbabwe's troubled economy, authorities have reported a recent spate of bizarre cons to extract money from unsuspecting victims.

3 comments:

emu-three said...

Yote hayo ni nini, ni kutafuta maisha, kutafuta pesa....
Vyema kesi kama hizi zikaamuliwa kwa nia njema ya kuwasaidia hawa watu, kuliko kuwafunga miaka mingi, wakitoka hapo wanatamanikufa tu!

Anonymous said...

Hii inanikumbusha dada mmoja pale Magomeni Mapipa miaka ya 1990. Dada huyo Mswahili alikuwa na washikaji wawili, mmoja Mswahili na mwingine Mhindi. Alipopata mimba, mzigo huo aliukabidhi kwa Mswahili, lakini mtoto alipozaliwa alikuwa ni Mhindi. Mbinu aliyefanya yule binti kuhakikisha baba feki hagundui kuwa yule mtoto amesakiziwa ilikuwa ni kuhakikisha hana hata nywele moja kichwani. Alikuwa akimnyoa kila siku lakini ilibidi anyooshe mikono mtoto alipofika umri wa miaka mitatu kwa sababu alikuwa na sura ya kihindi pamoja na kwamba hakuwa mweupe sana. Mswahili aligundua na kuachia ngazi baada ya kumtunza mtoto ambaye si wake kwa miaka mitatu.

Anonymous said...

Hahahahahahahahaahahahahaahahahahahahahaah