Wednesday, July 11, 2012

Msiba Boston, MA - Patrin Kibelloh 1963-2012

 UPDATE July 12, 2012 9:00PM - Patrin funeral will be held tomorrow afternoon in Boston, MA,  Click HERE for details.

UPDATE  July 12, 2012 12:30PM -  Patrin's funeral is postponed until further notice. His body is currently being held by the Coroner's office to determine his cause of death.  This is normal procedure. I will update as I get more information.
Patrin Kibelloh 1963-2012


Jumuiya ya Boston Massachusetts inasikitika kutanga kifo cha Ndugu yao Patrin Kibelloh 49 amefariki ghafla July 10, 2012. Habari ziwafikie ndungu jamaa na marafiki waliopo Tanzania na popote pale walipo.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake 5 Warden St, Saugas MA 01906.

Mazishi yatafanyika siku ya Alhamis. Mwili wa marehemu utasaliwa Msikiti wa Roxbury. 100 Malcolmx Blvd, Roxbury, MA saa saba mchana 1:00 PM.

Mipango ya mazishi itafanyika nyumbani kwake 5 warden st, Saugas MA 01906.

Mazishi yatafanyika (kesho) siku ya Alhamis Julai 12, 2012 na mwili wa marehemu utasaliwa Msikiti wa Roxbury 100 Malcolmx Blvd, Roxbury, MA kuanzia saa 1:00 PM.

Mnaweza kutoa mkono wa pole kwa kupitia Imani Mwakawago (Mke wa Marehemu) Account #1314939308 Citizen Bank.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana:

Isaac Kibodya 4132191153
Salum Salum. 6173082971
Fadhili Malima 781-437-2776
Kassim Mussa. 617 3190981
Abdallah Masoud. 1-857-247-2021
Halima Chunda +16179535375
Francisca. 17818799050

Mwenyezi Mungu aileze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina.
Marehemu na mke wake Imani Mwakawago Kibelloh

Patrin Kibelloh (1963-2012)

2 comments:

emu-three said...

R.I.P Patriri Kibelloh

Anonymous said...

Rest in Peace Patrin. You died too young.