Wednesday, July 18, 2012

Meli Yazama Zanzibar Leo! Watu Zaidi ya 15 wahofia Kufa!

Hata mwaka haijapita  tangu ajali mbaya ya MV Spice Islander na kuna habari kuwa meli nyingine imezama pwani ya Zanzibar! Watu zaidi ya 15 wamekufa.  Hiyo meli ilikuwa imebeba wageni pamoja na wazawa.

Natoa pole kwa wafiwa wote.  Lini serikali ya Tazania itaingilia usalama wa meli na ferry zetu? Itabidi watu wangapi wafe?

********************************************************

Baadhi ya Wageni Kutoka nchi za Nje walioponea ajali ya meli leo pwani ya Zanzibar. Picha na Reuters

Kutoka Reuters:

Vessel said to have been hit by high winds


By Ally Saleh

STONE TOWN, Zanzibar, July 18 (Reuters) - A ferry with more than 280 people on board, including some foreigners, sank off the east African coast of the Zanzibar archipelago on Wednesday, killing at least 15 people, the government said.

The ferry, MV Skagit/Kalama, set sail from the mainland Tanzania at around midday heading to Zanzibar, Tanzania's semi-autonomous archipelago and a popular tourist destination.

Rescue boats and divers were searching for any remaining survivors on the mostly submerged vessel.

"So far 15 bodies have been recovered," Mwinyihaji Makame, a state minister in the president's office, told reporters.

Government spokesman Yusuf Chunda added: "One foreigner, a woman is among the dead. Thirteen other foreigners were rescued and are in hospital."

It was not clear how many other foreigners had been on board. Zanzibar police spokesman Mohammed Mhina said by telephone that many passengers were missing.

"More than 200 people are believed to have been on board the boat when it capsized. We don't know how many of them sank with the boat," Mhina said.

"The rescue operation is ongoing as we speak but almost the entire boat has been submerged in water ... only a small part of the boat is now visible."

Preliminary reports indicated the vessel had capsized after being hit by strong winds and waves, he said.

Police said the vessel was carrying 250 adult passengers and 31 children when it capsized near Chumbe island, west of Zanzibar.

The ferry is owned by a company named Seagull, which also runs a number of other ferries. Previous reports had indicated the vessel was called MV Salama.

More than 200 people were killed when a crowded ferry sank in September off the coast of east Africa in the worst maritime disaster in the history of Zanzibar. (Additional reporting by Fumbuka Ng'wanakilala in Dar es Salaam; Editing by James Macharia, Yara Bayoumy and Alison Williams)

8 comments:

Anonymous said...

Hii tena imekua mchezo kila mara watu kufa kama kuku, Serikali lazima ichukue hatua kali sana kwa wenye hizi meli si kuacha wanaua watu hovyo, Wanafikiria pesa kuliko roho za watu huu ni uaji umekua si ubinadamu na seriakali inachangia kwa haya yote yanayotokea inakula rushwa kuuwa wanachi wake huu ni upumbavu mkubwa sana.

Anonymous said...

Hii tena imekua mchezo kila mara watu kufa kama kuku, Serikali lazima ichukue hatua kali sana kwa wenye hizi meli si kuacha wanaua watu hovyo, Wanafikiria pesa kuliko roho za watu huu ni uaji umekua si ubinadamu na seriakali inachangia kwa haya yote yanayotokea inakula rushwa kuuwa wanachi wake huu ni upumbavu mkubwa sana.

emu-three said...

Poleni sana wafiwa, hii ni ajali nyingine ya kusikitisha!

Anonymous said...

Dar Chemi, kwa jinsi rushwa na ufisadi vilivyoota mizizi Tanzania, watu wataendelea kufa, tena kwa wingi sana, katika ajali kama hii. Nobody cares as long as money changes hands. Vyombo vingi vya usafiri wa majini Tanzania havifai hata kubeba ng'ombe, achilia mbali binadamu lakini wahusika wanaifumbia macho hali hii baada ya kupokea mlungula kutoka kwa wamiliki wa vyombo hivi vibovu.

Anonymous said...

Uozo. Bongo imeoza kiasi kwamba unaweza kusajili hata pipa lililochakaa kwa ajili ya kutoa huduma ya usafiri wa majini kati ya Dar na Zanzibar.

Anonymous said...

Lakini kubomoa bomoa nyumba za wanyonge wanaweza. Ni mabingwa wa kubomoa. Siku hizi wanabomoa hata makanisa.

Anonymous said...

Ni ajabu na kweli! Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) inasema haina mamlaka ya kuzikagua meli zilizosajiliwa Zanzibar pamoja na kwamba vyombo hivyo vinasafiri kati ya Tanzania Bara na Zanzibar! Mungu tusaidie Tanzania.

Anonymous said...

kwanini lakini serikali, why jamani mbona hamthamini maisha ya watu like this? Mungu atawalaani na hamtofika kokote,kwa nini haya yote yatokee, Especially under one president, haya ni mambo ya kustaajabisha I hate Jakaya, I hate The government mnatuuwa, mnataka mtuuwe woooote ndio roho zenu zituli, mungu atawalipa, Mungu azilaze roho za marahemu malaha pema peponi, I cry for everyone that died sinkin under water but for the babies my heart breaks into pieces, How many times this has to happen jamani???? I cant even think straight right now, Mungu tu atawahukumu....Mnajijua....