Saturday, April 20, 2013

Mshenzi Akamatwa, Mwingine Auwawa - Waliotega Mabomu Boston Marathon

The Terror caused by Boston Bomber Brothers Tamerlan & Dzokhar Tsarnaev is Now Over! Tamerlan is Dead and Dzhokhar is is Custody.


Tamerlan Tsarnaev (Kuhoto)  Dzokhar Tsarnaev (Kulia) Wakienda kutenga mabomu
Tamerlan katika Uhai wake na Maiti Yake Jana
Dhokhar Alivyokamatwa Jana
5 comments:

Anonymous said...

This week in America felt like an unremitting series of tragedies. There were deadly bombs and poison letters. There was a town shattered by a colossal explosion. There was a violent manhunt that paralyzed a major city.

President Barack Obama calls it a "tough week." But he also says the response to it shows the character of the country.

America was rocked this week in rare and frightening ways. Its people are only beginning to make sense of events. But as the weekend arrived, horror was counteracted by hope.

In the words of the Rev. Roberto Miranda, at a prayer service in Boston this week, "We inhabit a mysterious world."

Anonymous said...

SASA WABONGO FANYENI MRUDI KWENU, MPAKA MFIE HUKO? KWA OBAMA SIO HOME , KUMBUKENI USEMI USEMAO HOME SWEET HOME.

SASAS MNAKUWA MNAWINDWA NA MABOMU KAMA WANYAMA PORI.

SEMENI MTAKACHO BONGO MSENO HAKUNA MAJOTROS, HAWA HAWA KINA WEMA SEPETU NA KINA DIAMOND WETU WANATUTOSHA KWENYE MAGAZETI YETU YA KILA SIKU, NI INTERTAIN TOSHA YA KUCHEKA MPAKA TUNALALA SAFI HUKU UKUTABASAMU USINGIZINI

Anonymous said...

Anonymous wa April 22,2013 4:50AM, Hayo unayoyasema kuwa watanzania warudi nyumbani yana uhusiano gani na milipuko ya kigaidi huko Boston?

Halafu unaonekana kutokufurahia magaidi kushughulikiwa kwa uhalifu wao.

Anonymous said...

These two were fools to think that they could carry out this sort of an attack in the US and not get nailed. Labda wangekuwa bado wako huru kama ingekuwa ni Afghanistan au Iraq.

Anonymous said...

Dah! Huyo Tamerlan wamemlipua vibaya sana.