Sunday, April 07, 2013

Ni Mwaka Moja Tangu Steven Kanumba Aage Dunia!

 
The late Steven Charles Kanumba (1984-2012


Leo ni Mwaka moja tangu Steven Kanumba afariki dunia baada ya kuumia katika ugomvi na mpenzi wake msanii, Lulu. Lulu yuko nje kwa dhamana sasa lakini kesi yake ya mauaji unaendelea. Leo Lulu na Mama yake mzazi walitembelea kaburi la marehemu Kanumba. Kutokana na picha nilizoona inaelekea kulikuwa na sinema ya bure huko:

Lulu akiweka Shada la Maua kwenye kaburi la Steven Kanumba huko Kinondoni CemeteryKuona picha zaidi tembelea Paradise Entertainment & Promotion:

http://nellykivuyo.blogspot.com/2013/04/picha-za-matukio-lulu-atembelea-kaburi.html

2 comments:

emu-three said...

Mhh, tungefurahi kama tungeliiona hiyo sinema, lkn ni vyema kuwa hivyo, kuwakumbuka waliotangulia inaonyesha tunawajali na ni vyema kuwaombea,...

Anonymous said...

Lulu is innocent!