Tuesday, July 23, 2013

Cheki Hiyo Shepu!


Mwanamke mweusi hasa ana hips!  Naomba maoni yenu.

Nedra Phillips

5 comments:

Anonymous said...

hips anazo; tatizo lake sura tuu. Anafanana na shabba ranks

Anonymous said...

Huyu ni mwanamitindo Nedra Phillips. Ni bonge la jimama. Design hizi inabidi upige Konyagi kwanza.

Anonymous said...

Tu-postie picha yake akiwa ndani ya bikini. Hapo ndipo tutajua kama ana shepu au la.

Anonymous said...

Big and beautiful! As long as she's healthy, everything's fine.

Anonymous said...

Kweli anony July 24, 2013 9:05 AM. Hapa bila konyagi mambo hayaendi.