Monday, July 01, 2013

Maandalizi ya Mapokezi ya Rais Obama Dar es SalaamTaswira mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es salaam mchana huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake amepita kila mahali kuangalia kwamba mambo yanaenda
mswano, ikiwa ni pamoja na kusaliamiana na makundi ya wananchi wa Dar es salaam walioko katika lango kuu la Mashariki.

PICHA NA IKULU

1 comment:

Anonymous said...

Ocean Road ni Obama Road sasa. Kama vile Independence Avenue ilivyoitwa Samora Avenue!