Wednesday, July 03, 2013

Documentary about First Tanzanian President Julius Nyerere

2 comments:

Anonymous said...

Wasn't Nyerere really a dictator?

Anonymous said...

Mdau anony wa juu kabisa uliyeuliza kama nyerere alikuwa dictator.

1. Aliichukua Tanganyika ikwa na vyama vingi vya siasa, akavifuta vyote na akabakisha chama chake tuu.

2. Wale ambao hawakukubaliana na mawazo yake, walikwenda exile. Kama Oscar Kambona.

Na mengineyo mengi tuu.

Mashabiki wake wanasema kwamba "kwa wakatu ule, ilikuwa ni sahihi kwa nyerere kuwa dictator"