Monday, July 01, 2013

Ziara ya Rais Obama wa Marekani Nchini Tanzania Katika Picha

Wadau,  vyombo vya habari hapa Marekani jinsi waTanzania walivyompokea Rais Obama kwa upendo na ukarimu.  Na pia walishanaa Rais Bush Jr. alivyopokelewa. Kweli waTanzania tujivunie! Wanazidi kushangaa vitenge na khanga zenye picha ya Rais Obama pia! 

Picha Kutoka Yahoo News na CNN.com


1 comment:

Anonymous said...

Karibu sana Rais Obama! Tunangojea hizo Grants na scholaship kwa hamu sana!