Monday, July 22, 2013

Mama Bishanga Ampongeza Natasha!Mimi mama Bishanga na mwanangu Kilian Kamota tunakupa hongera kwa kazi nzuri uliotimiza
ya kufunga ndoa nasi huku tulikuwa tunasherekea ndoa pia ya wa tz wenzetu siku hiyo.

Uliniahidi mwaka 2011nilipokuja TZ kufunga ndoa kuwa nawe utafanya hivyo. Umetimiza ahadi
ya Mungu ya kuungana mume na mke kuwa kitu kimoja halali. Mmependeza sana mdogo wangu
tunza mzee wako, mapenzi ya uzeeni matamu sana. Mpe raha mumeo.

Christina Innocent / Mama Bishanga

OHIO

USA

3 comments:

Anonymous said...

wazoefu wa kublogua mnalionaje hiii blog ya mange imeenda out of control na mwenyewe kajikuta amefika mahali anashindwa kuicontrol imeanza kucontrol maisha yake halali usiku hapangi mipango ya maisha na mume wake anashinda kwenye blog chezeya technology ushauri kwa mange take a time off the blog inakupelekesha kama gari inayoteremka kitonga bila breki

Anonymous said...

Mama Bishanga bado anameremeta!

Anonymous said...

Asante Mama Bishanga kwa kujali wadogo zako. Uzidi kubarikiwe.