Sunday, March 23, 2008

Bei ya Petroli imepanda mno USA!

Wadau, hali imekuwa mbaya USA! Bei ya Chakula na kila kitu kimepanda. Sasa bei ya mafuta nso inamaliza watu hasa wanaokaa mbali na kazi zao, na inabidi waendeshe magari yao. Heri wanaoweza kupanda basi na treni (subway).

Nimeletewa katuni hizi kwa e-mail:









3 comments:

Anonymous said...

Ohhh! too bad..

We pay $1.2 = 1500-1600 TZSHillings here in Tanzania...

How much do you pay per gallon=5ltrs in US???

Anonymous said...

Bei imekuwa balaa, kila ukienda pampu imepanda!

Subi said...

Mdau uliyeuliza, "How much do you pay per gallon=5ltrs in US???",

Salam za heri.
Ama kuhusu swali lako, kwa vile hiyo nchi ya Marekani ni kubwa, naomba ubofye FuelEconomy ujionee kwa wastani bei za mafuta ya gari Marekani.

Subi
nukta77.com