Monday, March 31, 2008

Majina ya kijinga mwiko kwa watu weusi Marekani!

Hii hadithi chini ni utani. Lakini kwa kweli siku za karibuni watu wamezungumzia hiyo suala ya weusi Marekani kutoa majina ya ajabu kwa watoto wao. Mtoto moja aliitwa XXalAXXAXia! Kweli kabisa! Walimhoji mama yake kwenye taarifa ya habari kwa nini alimpa binti yake jina hiyo, alisema alitaka mtoto wake awe na jina tofauti na watu wengine. Haya hii si neno. Ni vizuri katika enxi hizi za identity theft.

Ila wamefanya utafiti na kugundua kuwa hao wenye majina ya ajabu, mara nyingi wanachukuliwa kama punguani, na wenyewe hawana moyo ya kufika mbali katika maisha yao. Na ukitaka kujua kama ni kweli je, ni Ta'Quxti'hqb' wangapi ambao ni executives?


***********************************************************

Federal Judge: Enough With the Stupid Names
March 2, 2008

By Bill Matthews


After Judge Cabrera’s historic ruling, little Clitoria Jackson will likely undergo a name change.

(DETROIT) In a decision that’s expected to send shockwaves through the African-American community—and yet, give much relief to teachers everywhere—a federal judge ruled today that black women no longer have independent naming rights for their children. Too many black children—and many adults—bear names that border on not even being words, he said.

“I am simply tired of these ridiculous names black women are giving their children,” said U.S. Federal Judge Ryan Cabrera before rendering his decision. “Someone had to put a stop to it.”

The rule applies to all black women, but Cabrera singled out impoverished mothers.

“They are the worst perpetrators,” he said. “They put in apostrophes where none are needed. They think a ‘Q’ is a must. There was a time when Shaniqua and Tawanda were names you dreaded. Now, if you’re a black girl, you hope you get a name as sensible as one of those.”

Few stepped forward to defend black women—and black women themselves seemed relieved.

“It’s so hard to keep coming up with something unique,” said Uneeqqi Jenkins, 22, an African-American mother of seven who survives on public assistance. Her children are named Daryl, Q’Antity, Uhlleejsha, Cray-Ig, Fellisittee, Tay’Sh’awn and Day’Shawndra.

Beginning in one week, at least three white people must agree with the name before a black mother can name her child.

“Hopefully we can see a lot more black children with sensible names like Jake and Connor,” Cabrera said.

His ruling stemmed from a lawsuit brought by a 13-year-old girl whose mother created her name using Incan hieroglyphics.

“She said it would make me stand out,” said the girl, whose name can’t be reproduced by The Peoples News’ technology. “But it’s really just stupid.”

The National Association of Elementary School Teachers celebrated Cabrera’s decision.

“Oh my God, the first day of school you’d be standing there sweating, looking at the list of names wondering ‘How do I pronounce Q’J’Q’Sha.’?” said Joyce Harmon, NAEST spokeswoman. “Is this even English?”

The practice of giving black children outlandish names began in the 1960s, when blacks were getting in touch with their African roots, said historian Corlione Vest. But even he admits it got out of hand.

“I have a niece who’s six. I’m embarrassed to say I can’t even pronounce her name,” said Vest, a professor at Princeton University. “Whenever I want to talk to her, I just wait until she looks at me and then I wave her over.”

Cabrera’s ruling exempted black men because so few of them are actually involved in their children’s lives.

Note: This article is satire, brought to you by the creative minds at The Peoples News. It’s not real, but we hope it made you think.

http://thepeoplesnews.wordpress.com/2008/03/02/federal-judge-enough-with-the-stupid-names/

6 comments:

Anonymous said...

Wengine wana majina ya ajabu ni kweli. Lakini hao wazungu si ndo waliwanyanganya historia yao.

Subi said...

Chemi nakudai fidia! Nimejing'ata ulimi nikijaribu kutamka hilo jina la 'zalaksasia' (XXalAXXAXia) na bado sijalipatia, na muda wangu nimepoteza na huenda nimepatwa na kigugumizi ninahitaji matibabu, kwanza magego yamechoka hata kula sijui kama nitaweza kula leo, labda ntakunywa uji tu.

Chemi Che-Mponda said...

Subi, LOL! Yaani acha tu. Nadhani nimefupisha hiyo jina maana ilikuwa na XX nyingi kweli. Waliwauliza wazazi wa huyo mtoto wa kike wanadhani mtoto wao atajisikiaje akianza shule. Maana lazima watamtania ile mbaya.

Nimewahi kumkuta mtoto wa kiume anaitwa Khadija.

Anonymous said...

Dada Chemi usisahau jina lako ukiunganisha na la mzee unasogerea hukohuko.Ebu fikiria generation ya tatu toka kwako wakilitafuta jina lenu itakuaje sembuse generation zaidi!

Anonymous said...

Anonymous wa 5:21PM, si afadhali watumie majina halisi ya Afrika. At least majina ya Afrika yana maana. Sasa wamarekani weusi wamepoteza historia yao ndo wanishia kutunga majina ya jabau. Sasa hiyo jina XXalxxxaxia manake nini?

Anonymous said...

Nilipokuwa nasoma huko South Africa (shule ya Sekondari) nilisoma na wafuatao: Edna Kirasho (mkenya), Dickson Kisewa (mmalawi), Aidan Makuma (mzaire). Kule kwetu uchaggani "kirasho" ni ushuzi, "kisewa" ni matako, na hiyo "makuma" malizieni wenyewe!