Wednesday, March 26, 2008

Elimu ya Mjinga ni Majungu!

Au, mnasemaje wadau?

2 comments:

KKMie said...

Ni kweli kabisa mtu amabe sio mjinga, yule mwenye busara hawezi kupoteza muda kufanya majingu na badala yake anahaha-huku na kule kufanya kila linalowezekana iki kufanikisha mambo fulani kimaisha au kijamii na sio majungu.

Anonymous said...

Thank you Dinah mfano mzuri mimi watu wananipiga majungu halafu mimi na mshukuru mola wangu mambo yangu ananilindia yaani kuna kitu nachukia hapa duniani mtu kuja kuniambia mtu fulani kakusema sijui hivi au vile mimi naonaga ni majungu tu na wote ni wanafikii kwanini aje kukwambia wewe tafuteni maisha wacheni majungu maendeleo hayaji kwa fikira pekee inahitaji vitendo na muda au subiri mtu

HILDA