
Kushoto ni balozi wa kinywaji cha Redds Victoria Martin, Bongo Fashion Designer 'Rhemtullah' na Mama Asia Idarious wa FABAK Fashions.
Nimependa nguo aliyovaa Mama Asia. Anaweza kuuza kwenye soko za kimataifa (kasoro mkanda).
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
1 comment:
Hata usipopenda ndo kashaivaa tena
Post a Comment