Friday, March 28, 2008

Mtindo wa Kusuka Mpya!!

Picha kutoka Jiachie Blog

Kweli waBongo ni wabunifu. Sasa wanasuka na nyuzi za kufuma vitambaa (yarn). Si mtindo mbaya! Halafu kamechisha na hereni, na eye shadow.

6 comments:

Unknown said...

Kapendeza!!!

Anonymous said...

uchizi,yeyote mwenye akili timamu awezi kufanya hivyo au amesoma je wewe CHEMI utaweza kufanya hivyo au uende kwa mzee Chemponda namna hii siatajua umeanzwa kuchanganyiwa

Anonymous said...

mh da chemi ,huu si mtindo mpya wa kusukia nyuzi za kufumia ,mie nimesuka 2006,unaweza ukasuka kama huyo dada,kama rasta za mabutu ,twist na hata dredi wanavyosema mtaani.Labda kuchanganya marangi mengi sana ndo mpya.maana hata rangi mbili za uzi huo nshasukia vilevile.Asante

Anonymous said...

too much colour haipendezi

Anonymous said...

NYUZI sio nyusi, nyusi ni kitu kingine kabisa mpenzi.

Chemi Che-Mponda said...

Asante kwa sahisho mdau wa 1:30PM,ndo tatizo ya kutokufanya proof reading.