Saturday, March 22, 2008

Pasaka Njema! Happy Easter!


Wadau, ninawatakia Pasaka Njema!

Happy Easter!

7 comments:

Anonymous said...

Chemi, I wish you and your family a Happy Easter. Thanks for all your posts.

Anonymous said...

Same to you......

Simon Kitururu said...

Na wewe pia!

Anonymous said...

We dada Chemi mdini sana! Mbona MAULID DAY imepita hukututakia maulid njema? Au blog yako niya wakristo tu, sie waislam tusipite! huku weka tangazo hapo juu kwamba hii ni blog ya wakristo tu!

SIO MAMBO MTU WANGU....!

Mija Shija Sayi said...

Na wewe pia!

Anonymous said...

Pasaka njema na wewe Dada Chemi!

Chemi Che-Mponda said...

Asanteni wadau wote kwa salamu. Kwa anonymous wa 11:02am, naomba unisamehe kwa kupitwa na siku ya Maulidi. Mwakani sikosi.