Wednesday, March 12, 2008

Mwandishi wa Habari Mweusi apigwa na Wazungu S. Carolina!!!

Charmayne Brown


Nilidhani huko South Carolina, mambo pao kwa weusi. Kumbe bado.

Hebu cheki huyo Mwandishi wa Habari mweusi, tena mwanamke anavypoigwa na wazungu! Halafu anaburuzwa! Jina lake ni Charmayne Brown na anafanyia WSPA-TV. Mpiga picha wake, mwanaume mwuesi kapigwa pia! Walikuwa wanatukanwa N-word huko wakipigwa!

Polisi wameshikilia watu wanne kuhusiana na hii tukio!

Poleni sana.

Kwa habari zaidi na kuona video ya tukio Bofya linki hapo chini:

5 comments:

Anonymous said...

Ningemshauri huyo dada awasue hao wazungu lakini wanaonekana ni white trash. Hawana kitu.

Anonymous said...

Mwanamke mzuri huyo!

Simon Kitururu said...

Inasikitisha sana!

Anonymous said...

Anon March 12, 2008 1:02 PM, ni mzuri kama Chemi? Black ladies bwana, we acha tu!

Anonymous said...

HIVI UBAGUZI UTAISHA LINI MAREKANI?KAZI KWELI KWELI