Thursday, March 27, 2008

Sindimba



Sindimba ni moja ya ngoma maarufu wa Kusini mwa Tanzania. Nilivyokuwa JKT, nilikuwa kwenye kikundi cha ngoma na ni moja wa ngoma ambayo tulikuwa tuna cheza. Ila kwenye hii version naona wameongeza Bumping.

2 comments:

Anonymous said...

Nipe kitabu nisome nifundishe wajinga wasiojua kusoma eh, AHKUSINDIMBA!

Simon Kitururu said...

Sindimba kiboko!:-)