Saturday, March 08, 2008

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Wanawake!


Leo ni Siku ya Kimataifa ya Wanawake!

Siku ya Kimataifa ya Wanawake wa kwanza ilisherekewa siku ya March 8, 1911 huko Copenhagen, Denmark. Aliyeanzisha ni Clara Zetkin, kiongozi wa wanawake katika 'Women's Office' ya chama cha Ujamaa na Demokrasia huko Ujerumani.

Umoja wa Mataifa waliteua mwaka 1975 kuwa mwaka wa mwanamke. Baada ya hapo walikubali ku-sponsor sherehe nyingi za siku ya March 8th.
Haki za akina mama zimesaidiwa kutokana na siku hiyo. Kuna sehemu nyini wanawake walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura (hata hapa Marekani), kusoma elimu ya juu, kufanya kazi za aina fulani na mambo mengi. Hata wanawake waliokuwa kwenye nafasi za uongozi walikuwa wachache duniani. Tumetoka mbali.
Kwa habari zaidi someni:



"I AM WOMAN HEAR ME ROAR IN NUMBERS TOO BIG TOO IGNORE!"

2 comments:

Anonymous said...

Kumbe ndo maana wazee wa zamani walesema watoto wa kike wasipelekwe shule. Now I see they had a point.

Chemi Che-Mponda said...

Wazee walisema pia... Ukimsomesha mwanaume, umesomesha mwanaume. Na ukimsomesha mwanamke unasomesha familia!