Tuesday, July 31, 2007

Blogu Mpya ya Michuzi

Nawataarifu kuwa Kaka Michuzi amehamisha site yake:

Anwani mpya ni: http://isamichuzi.blogspot.com/

KARIBUNI!

1 comment:

Anonymous said...

Namshauri Muhidin Issa Michuzi aendelee kutumia jina lililozoeleka yaani issamichuzi.blogspot.com.

Hawezi kubadili jina kwa mara ya 3. Maana alianza na michuzi.blogspot.com ndio akaazisha hii issamichuzi. Na sasa anaanzisha ya 'single "s"'.

Hii issamichuzi ni 'brand' ya kazi yake na akiibadilisha kirahisi rahisi hivi ataathiri shughuli zake. from issa to isa!!!??

Mi nadhani kama e-mail yake imeingiliwa na matapeli angeweza kubadili password. Solution ni kubadili password na sio kubadili brand name ya kazi zake.

Just imagine yahoo wakibadili na kuwa yaho au google wabadili wawe gogle, toyota wawe toyyota unadhani itakuwaje hapo????

Mwambie Muhidin Issa Michuzi asichukue uamuzi wa haraka hivyo!!!!

Mosonga