Friday, July 27, 2007

Michuzi Blog & E-mail is Hacked! ONYO!

TANGAZO MUHIMU
Wanablogu, nimegundua sasa hivi kuwa Blogu na e-mail ya Muhidini Michuzi imekuwa hacked!

Kuna Tapeli Nigeria amefanya hivyo!

Nimeongea na Michuzi sasa hivi na anaomba watu wasambaze habari kuwa site imekuwa hacked na hiyo e-mail kuwa anaomba hela haitoki kwake.

Kwa sasa mnaweza kumpata kwenye e-mail issamichuzi@yahoo.com.

******************************************************************************************* E-mail iiyokuwa hacked ni hii: muhidin michuzi [issamichuzi@gmail.com]

How are you doing today? I am sorry i didn't inform you about my traveling to Africa for a program called "Empowering Youth to Fight Racism, HIV/AIDS, Poverty and Lack of Education, the program is taking place in three major countries in Africa which is Ghana, South Africa and Nigeria.

It as been a very sad and bad moment for me, the present condition that i found myself is very hard for me to explain. I am really stranded in Nigeria because I forgot my little bag in the Taxi where my money, passport, documents and other valuable things were kept on my way to the Hotel am staying, I am facing a hard time here because i have no money on me. I am now owning a hotel bill of $ 1550 and they wanted me to pay the bill soon else they will have to seize my bag and hand me over to the Hotel Management.,

I need this help from you urgently to help me back home, I need you to help me with the hotel bill and i will also need $1600 to feed and help myself back home so please can you help me with a sum of $3500 to sort out my problems here? I need this help so much and on time because i am in a terrible and tight situation here, I don't even have money to feed myself for a day which means i had been starving so please understand how urgent i needed your help.

I am sending you this e-mail from the city Library and I only have 30 min, I will appreciate what so ever you can afford to send me for now and I promise to pay back your money as soon as i return home so please let me know on time so that i can forward you the details you need to transfer the money through Money Gram or Western Union.

Thanks.

Muhidin Michuzi.

****************************************

NAWAKUMBUSHA KUWA HII HABARI NI UWONGO NA UNATOKA KWA TAPELI HUKO NIGERIA!

12 comments:

Anonymous said...

wadau anachosema da'chemi ni kweli kwamba bwawa langu limeingia luba lakini wahusika nimeshawafahamisha na watarekebishwa. na wala msiwe na wasi wowote. nimetuma ujumbe huo hapo chini kwa kila mtu niliye na email yake.

asante chemi kwa msaada wako. hahaha jamaa wamenipatia kweli yaani inabidi nisaini kama anony hapa!




NDUGU!

KUNA MTU AMBAYE SIMJUI KAIBA ADDRESS YANGU YA ISSAMICHUZI@GMAIL NA ANAANDIKIA WATU UJUMBE AKIJIFANYA NI MIMI KUOMNBA PESA. NAOMBA ACHANA NAYE NI TAPELO NA ANATAKA KUKUIBIA. TOKA SASA USITUMIE TENA ISSAMICHUZI@GMAIL.COM KWANI IKO MIKONONI MWA TAPELI. UKIPATA UJUMBE HUU TAFADHALI MFAHAMISHE NA MWINGINE. TUMIA EMAIL HII YA YAHOO TU NA SI GMAL AMA NIPIGIE KWA SIMU HIYO CHINI


MICHU

cELL +255 754 271 266





NDUGU!

I AM WRITING THIS NOTE TO INFORM AND WARN YOU AGAINST MESSAGES FROM ISSAMICHUZI@GMAIL THAT I WAS USING UNTIL THIS EVENING WHEN SOMEONE HACKED IT AND IS NOW POSING AS ME TO SOLICIT FUNDS OR SEND CRAZY MESSAGES PRETENDING THEY ARE FROM ME. pLEASE BE INFORMED ISSAMICHUZI@GMAIL.COM HAS BEEN HACKED AND THEREFORE SPAM/IGNORE ALL MESSAGES. I WILL NOW BE USING THIS EMAIL ADDRESS UNTIL FURTHER NOTICE. REMEMBER ISSAMICHUZI@GMAIL.COM HAS BEEN HACKED, INFORM ALL OTHERS ABOUT THIS AND INFORM ALL THAT YOU KNOW ABOUT THIS. DONT EVER USE MY GMAIL ADDRESS AGAIN JUST USE THIS YAHOO EMAIL OR CALL ME THRU THE NUMBER BELOW


MICHU

CELL +255 754 271 266

Anonymous said...

oooh my, hivi hawa watu hawaoni aibu jamani, big uuuuup da Chemi kwa kulikwepa changa la macho hilo

Simon Kitururu said...

Kazi kwelikweli!

Egidio Ndabagoye said...

Balaa hili,jamaa hawakawii.

Anonymous said...

Tumeshawastukia hao.....hawapati kitu...

Anonymous said...

Hivi habari za kusema ni Wanaijeria ndiyo waliyofanya hivi ziko founded, au ni propaganda tu ya kusema Wanaijeria matapeli, na mahackers..

Tuangalie sana lugha zetu.

By Mchangiaji,
mmchangiaji@yahoo.com

Chemi Che-Mponda said...

Mchangiaji,

Kwa kesi hii nadhani ni sawa kusema kuwa ni Mnigeria maana kaomba pesa zitumwe Lagos, Nigeria.

Anonymous said...

BADO. NA HIYO TABIA YA KUTUMIA BLOGS KUOMBAOMBA MICHANGO AU MSAIDIWE KAMA MLIVYOFANYA KWA MJENGWA, HAYO NDIYO MATOKEO YAKE.
SASA MICHUZI UMENASA NA WENZIO NAO WALIKUWA KWENYE MPANGO WA KUNASWA KAMA WEWE. MIMI KAMA NILIVYOSHAURI, TUACHE HII YA TABIA YA KUOMBAOMBA KUPITIA MTANDAONI.
KUNA MATAPELI WENGI KAMA YULE ALIYEJIFANYA JOEL BENDERA NA KUTAKA KUMTAPELI TIDO MHANDO KULE MOROGORO. MNAYAJUA HAYO NDUGU ZANGU?
PIA NAMUUNGA MKONO "mchangiaji" ALIYEJARIBU KUTUKOSOA NA KUWAONYESHA DOLE WANIGERIA KUDAI KUWA NDIYO WALIOMFANYIA VIBAYA MICHUZI. KUNA USHAHIDI WOWOTE JUU YA TUHUMA HIZO?
MTU ANAWEZA AKAANDIKA HACKED EMAIL AKAJIFANYA YUPO AMERICA AU POPOTE. UTAJUAJE KAMA HUNA NYENZO AU UWEZO KUPATA DETAILS TOKA KWA WEB OWNER AMBAYE HUWA NA DETAILS ZA WATU WAKE WANAOJIANDIKISHA POPOTE WALIPO.
KWA HIYO TUACHE KUWASHUTUMU HAO WANIGERIA. PENGINE JAMAA ANA LAKE JAMBO AU AMEFANYIWA JAMBO NA MICHUZI AMBALO SISI HATULIJUI.

Anonymous said...

Kwa kweli hawa Nigerians mbona wameshaingia Bongo kitambo? We should start to warn each others that these guys are actually present in Bongo right now! Prying on the vulnerable,they are marrying naive, greedy Tanzanians girls right now, then they lay low, planning and wait to execute their missions,these guys has been kicked out in places like Botswana and South Africa and they found an easy target (Bongo)Wabongo bado kiza kingi wanawaona wanaijeria Babukubwa! I visited african travel website and there is dubious postings on "Tanzania forums" that advertising various jobs, I was alarmed by one of my white friend who tried to find more that actually the adverts is by Nigerians, as usual it is a tactics to get your details.

Anonymous said...

Kwa kweli kama ulivyosema anony wa hapo mwisho. Hivi akin ada-Chemi hamuwezi kusambaza huu ujumbe wa utapeli wa Wanigeria huko home, maana nduguzetu wataisha. na hivi dada zetu wa kibongo wanavyopenda foreigners. Kazi kweli kweli.

Anonymous said...

Mie siwatetei Wanigeria-ila siwezi kusema kuwa nawachukia , kama Magdalena alivyosema hapo juu "I honestly hate Nigerians".

Mie nina marafiki wengi tu wa Nigeria, wanaishi maisha ya kawaida na wanachapa kazi kama watu wengine tu.

Kitendo cha utapeli kilaaniwe bila kujali mtu anatoka wapi-juzi Chemi ametupa habari kuwa wakenya nao wametapeli huko Marekani (tena mamilioni ya pesa). Hii haimaanishi tuwachukue Wakenya wote !!!

Anonymous said...

Mie siwatetei Wanigeria-ila siwezi kusema kuwa nawachukia , kama Magdalena alivyosema hapo juu "I honestly hate Nigerians".

Mie nina marafiki wengi tu wa Nigeria, wanaishi maisha ya kawaida na wanachapa kazi kama watu wengine tu.

Kitendo cha utapeli kilaaniwe bila kujali mtu anatoka wapi-juzi Chemi ametupa habari kuwa wakenya nao wametapeli huko Marekani (tena mamilioni ya pesa). Hii haimaanishi tuwachukue Wakenya wote !!!