


Cory alianza kucheza katika televison na sinema za Marekani akiwa mtoto mdogo kabisa. Nilimtambua kwa vile alicheza kama 'Terrance' katika ile show, A Different World iliyohusu maisha katika Chuo Kikuu fulani Hillman College. Show ilianzishwa na Bill Cosby.
Pia Cory amecheza katika televison shows zingine kama Beverly Hills 90210, na Moesha. Kwa habari zaidi za Cory Tyler, nenda:
http://www.imdb.com/name/nm0878798/
1 comment:
umefanana na baba ako sana mwanzo nilifikiri ni wewe
Post a Comment