Friday, July 27, 2007

Mimi na Michuzi

Tanzanian Photojournalist, Muhidini Issa Michuzi, akiburudika baada ya kazi ngumu huko Safari Carnivore, Mlalakuwa.

Mimi na Michuzi huko Safari Carnivore, Mlalakuwa. Michuzi alinipa offa, kwa kweli nyama choma pale ni tamu sana.
Michuzi naye anajua kuselebuka! Hapa yuko kwenye arusi huko Dar. Aliniambia anaalikwa kwenye arusi nyingi sana na anashindwa kuhudhuria zote, kwa siku anaweza kualikwa arusi hata tano! Kweli Michuzi amekuwa 'Popular'! (photo from Jiachie Blog)

3 comments:

Anonymous said...

eheheeheh!! Michuzi ana cheza utamaduni wa Wachaga ngoma ya MBassa

Anonymous said...

CHEMIIIIIII, tindi hilo babake.

Anonymous said...

kama kuna mtu ana habari zozote au picha za wale waliotaka kuipindua serikali ya julius miaka ya 80, wapo wapi, na wanafanya( shughuli zao).