Friday, January 22, 2010

Mazishi ya Reverend Whitlow Leo

REST IN ETERNAL PEACE REVEREND DOUGLAS G. WHITLOW. Mume wangu alikuwa mwanajeshi enzi za Vietnam, amezikwa kwa heshima za kijeshi leo huko Cambridge Cemetery.

Asante Ezekiel Luhigo kwa picha.

Kutoka Kushoto Mwanangu Elechi Kadete, Shemeji yangu Dennis Whitlow, Mwanangu Camara Kadete

20 comments:

Fadhy Mtanga said...

Pole sana dada Chemi. Mwenyezi Mungu akuzidishie faraja. Pia akupe nguvu. Twaamini ameipokea roho ya marehemu na kuiweka mahali pema peponi.
Amina.

Anonymous said...

Pole dada Chemi na Mungu akupe subira wakati huu wa maumivu. nawapa pole pia na wajomba.Ninachoweza kusema ni kukuombea wewe maisha ya saburi na pia roho ya marehemu mchungaji Whitlow ikae pema peponi Amina.Naitwa Beda msimbe Mzee wa lukwangule, mbagala Dar es salaam

Mija Shija Sayi said...

Da Chemi na familia poleni mno mno mno.

SIMON KITURURU said...

R.I.P REVEREND DOUGLAS G. WHITLOW

mumyhery said...

Pole sana Dada Chemi,Mungu akupe moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu

Anonymous said...

R.I.P Reverend.
Pole sana dada Chemi na familia.

PASSION4FASHION.TZ said...

Pole sana dada Chemi,mungu akutie nguvu.

Anonymous said...

Pole sana Da Chemi. The hardest part about loosing a loved one is picking up the pieces afterward and trying to establish a 'normal' life. They say time heals, my prayer is that God gives you comfort and perseverance in this difficult time. RIP Rev Whitlow.

EDWIN NDAKI said...

POLE TENA DA CHEM

MOLA AKUZIDISHIE NGUVU NA FARAJA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.God,s love..

RIP REVEREND DOUGLAS G. WHITLOW

Anonymous said...

pole sana kwa msiba mwenyezi mungu akupe nguvu kwa kila jambo unalolifanya wape pole na vijana wangu. Mdau UK

Anonymous said...

Pole sana dada chemi hayo yote ni mapenzi ya Mungu.

Asante -Kaka yako Mwakipesile

silver spring MD.
Mwaki66@yahoo.com

Anonymous said...

Pole sana da Chemi, poleni wanafamilia wote.

Mama Governance said...

Pole sana Da Che,i kwa kuondokewa. Mwenyeezi Mungu akupo subira na uwe ukimwombea marehemu radhi zake allah.

Anonymous said...

Pole Sana Dada Chemi... May his soul rest in peace

Mashughuli said...

Pole sana chemi. mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, amina

Anonymous said...

jaman pole sana dada chemi,bwana ametoa na bwana ametwaa,mungu akupiganie!

Shally's Med Corner said...

Pole sana dada Chemi, Mungu hutoa na iko siku huchukua. Mwenyezi Mungu akupe Subira. pole sana kwa msiba.

Anonymous said...

pole da chemi na familia yote, Mungu awape faraja.

MS GBENNETT

Anonymous said...

pole sana dadangu.Ndiyo naisoma habari hii.Pole sana.

Muchuka said...

Pole Dada Chemi kwa hou msiba, mungu akupe nguvu mpya ya kukabiliana na maisha baada ya kifo chake