Friday, January 08, 2010

Mfanyakazi wa Mo'Nique Auwawa!!

(Pichani Maureen Allaben)

Leo kuna habari kuwa mfanyakazi wa The Mo'Nique show ameuwawa na mume wake! Polisi wanasema kuwa Maureen Allaben, aliuwawa siku ya jumapili (1/3/10) na mume wake. Mume wake alizunguka na maiti ya mke wake kwenye gari kwa siku mbili halafu alienda kujisalimisha polisi. Maureen alikuwa na kazi ya kupamba seti, ya The Mo'nique Show.
Polisi hawajasema sababu ya Dennis Allaben kumwua mke wake. Maureen anaacha watoto wawili.

Kwa habari zaidi someni:


1 comment:

Anonymous said...

Duh! Nyota ya Mo'nique inapanda halafu anapatawa na mkasa kama huo! Mo'Nique atapata Oscar kwa ajili ya Precious. Nasikitika kuwa huyo mama kauawa lakini nasema bora ni mzungu. Angekuwa mweusi watu wangesema eheh mnaona weusi walivyowanyama!