Tuesday, January 19, 2010

Mipango ya Mazishi - Funeral Arrangements Rev. Douglas Whitlow


Reverend Douglas G. Whitlow (1951-2010)

Marehemu mume wangu, Reverend Douglas G. Whitlow, atazikwa siku ya Ijumaa , January 22, 2009 katika makaburi ya Cambridge, (Cambridge Cemetery) eneo la wanajeshi.
Viewing/Wake/Funeral itakuwa

Spears Funeral Home,
124 Western Avenue
Cambridge, MA 02139

Viewing/Wake 10:00 -11:00am

Funeral Service 11:00 - 12:30pm

(Tafadhali zingatia muda)

Procession to Cemetery Immediately afterwards. Internment at Cambridge Cemtery, Coolidge Avenue in Cambridge, MA

Luncheon itakuwa

International Gospel Church
85 Crescent Ave.
Chelsea, MA 02150
********
Unaweza kutuma kadi:

Mrs. Chemi Whitlow
10 Laurel St. #4
Cambridge, MA 02139 USA
************************************

7 comments:

Anonymous said...

Pole kwa msiba dada chemi ila kwa uchungu ulionao sasa jaribu au tafuta mwakilishi wakukutolea habari tupo pamoja ktk kipindi hiki kigumu kwako mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu pahala pema peponi

Anonymous said...

pole na msiba chemi. MUNGU akuzidishie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. may the soul of rev whitlow rest in eternal peace.

wavuti-nukta77 said...

Thx for the updates and especially for the bank details.
Again, be comforted in this time of big sorrow re: the loss of your beloved husband.

Anonymous said...

Pole sana dada yetu, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mshukuru Mungu kwa kila jambo.

Anonymous said...

pole sana dada chemi,mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amina.
Jingo James.

Anonymous said...

Pole Dada Chemi,
BWana Alioa na bwana ametwaa, Jina la bwana libarikiwe.
RIP Rev. Douglas Whitlow

Anonymous said...

tdada chem jamaa alikuwa fiti sana enzi za uhai wake alikuwa very strong jamani kwanini aliacha jeshi na akanenepa hivyo?
unajua mwanzo uloposema atazikwa makaburi ya wanajeshi nilikuwa najiuliza kwa nini mchungaji azikwe kwenye makaburi ya wanajeshi?
kumbe alikuwa mjeda,pole dada tupopamoja na wewe.
wadogozako wa Kijiji cha Kimelembe Ludewa