Monday, January 04, 2010

Chakula cha Mchana

Wali mweupe, chapati, kabichi na kuku! Karibuni!

7 comments:

Anonymous said...

Mlo safi kabisa huu lakini mbali tutamezea macho tu.

Joseph J. said...

Asante. Duu hii Tanzania kitu adimu

Anonymous said...

Chemi huo wali au bokoboko?

Anonymous said...

Huo ubwabwa lazima umepakuliwa na MZUNGU!

paesulta said...

...acha ubaya aunt kututoa mate kiasi hiki,kila siku najaribu kutengeneza chapati lakini zinatoka kama mikate ya kwenye sinema za Yesu,zimekomaa kwelikweli.nilidhani ni rahisi kwani nilikuwa nikiona mama na sister wakitengeneza kila siku nikadhani cha mtoto lakini shughuli ipo,kwa vyakula vingine lakini nipo bomba........

Anonymous said...

vikavu jamani hakuna mchuzi wa kutolea pembeni?! loh bora maji ya matunda yawe karibu usisakamwe!

Anonymous said...

Afadhali mwenzangu umeona ukavu wa hilo zoezi, da Chemi hata kamchuzi jamani? chapati, ubwabwa, kuku mkavu na kabeji si hatari hiyo?