Wednesday, January 06, 2010

Wimbo wa ChooniHuyo Dada ana hits zaidi ya milioni tatu huko YOU TUBE! Watu hapa wanasema sasa kila wakienda chooni wataimba wimbo huo. OFFICIAL TOILET SONG!

6 comments:

Martin said...

Jamani! hawa wote wanaotazama hiyo video na kuisambazia kwa wengine wanafurahishwa na nini manake mi sielewi hasa ni kipi cha ajabu hapo? Siku hizi upuuzi wowote uwekapo kwa youtube hupata shabiki...

(toka fulani wa ng'ambo atamaniye kuzuru nyumbani KE..!)

benjamin said...

See my vintage picture blogs:
http://mynewoldpictures.blogspot.com
http://mypetarts.blogspot.com
http://mynaturepictures-benmil.blogspot.com

Anonymous said...

Dohh! Huo wimbo unasaidia katika haja kubwa?

Anonymous said...

NOW FLUSH! Hiyo safi kwa kufundisha watu jinsi ya kuflush vyoo baada ya matumizi!

Singer said...

Nimeketi kwenye choo!
Nakaa Chooni!
Nadondosha Makimba!
Kukaa Kwenye Choo!
Haya VUTAAA!

Anonymous said...

Saw this on Youtube, LMAO,imepata viewers kibao, unbelievable ha ha.