Monday, January 18, 2010

Msiba - Reverend Douglas G. Whitlow (Mume Wangu)


(Reverend Douglas G. Whitlow 1951-2010)

Wadau, nasikitika kutangaza kifo cha mume wangu, Reverend Douglas G. Whitlow, kilichotokea nyumbani hapa Cambridge, Massachusetts leo asubuhi. Alikuwa na matatizo ya figo kwa muda mrefu. Alikuwa anangojea kidney transplant.

Mipango ya mazishi ninafanya na nitawajulisha mara ikikamilika. Kwa habari zaidi mnaweza kuwasiliana na mimi:

Chemi Che-Mponda Whitlow 617-497-4353

au

Ezekiel Concord Luhigo 781-632-3605
REST IN ETERNAL PEACE. AMEN.

65 comments:

Anonymous said...

pole sana kwa kufiwa na mmeo dada chemi.mungu katoa mungu katwa jina lake lihimidhiwe

Anonymous said...

Pole sana dada chemi, mungu akupe nguvu na akuwezeshe kukamilisha shughuli zote.

Anonymous said...

Pole sana Da Chemi kwa msiba uliokufika.
Ampumzike pema Reverend Douglas G. Whitlow.
Pole sana!

Mbele said...

Pole sana Dada Chemi. Mungu akusaidie wewe na familia yote kuhimili msiba huu. Namkumbuka Mzee, Reverend Whitlow, tulivyoonana miaka mingi iliyopita. Mungu amweke mahali pema Peponi. Amina.

Mzee wa Changamoto said...

Pole sana Da Chemi
Mungu ampumzishe mumeo palipo pema

Anonymous said...

Pole sana dada chemi.
R.I.P Reverend Douglas G.Whitlow.

Candy1 said...

Pole sana dada Chemi, may his soul rest in peace. Amen

Anonymous said...

Pole sana kwa kuondokewa na mmeo mpendwa. Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu, tuko pamoja na wewe.

Anonymous said...

May God give you strength and courage during this testing time.

Pole sana, Da Chemi.
-----------------------------------
Jua Kali

Baraka Mfunguo said...

Pole Dada Chemi sina cha kuongea wala kuelezea hali uliyonayo na huzuni kwa kuondokewa kwa mumeo ila naweza kusema wewe ni mwanamke jasiri. MUNGU AZIDI KUKUTIA NGUVU KATIKA KIPINDI CHA MPITO. SOTE TUNAELEKEA HUKO. RIP Rev. Whitlow

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Mungu Amemwita naye ameitika. Ametutangulia na siku moja tutakutana naye. Hebu na apumzike kwa Amani. Nyote mbarikiwe!

kibunango said...

Pole sana dada Chemi kwa msiba mkubwa wa kifiwa na mmeo. Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.

Anonymous said...

POLE SANA DADA CHEMPONDA MUNGU AKUTIE NGUVU UWEZE KUHIMILI KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MSIBA

Faustine said...

Pole sana kwa kufiwa. Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu kwako.
Mwenyezi Mungu amlaze marehemu mahali pema Peponi. Amina.

mwandani said...

Pole sana.

KELAND PRIMARY SCHOOL said...

POLE SANA DADA YANGU HAYO NI MAPENZI YA MUNGU.NAKUOMBEA MUNGU AKUPE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU

Yasinta Ngonyani said...

Pole sana Da Chemi pamoja na familia yote. Ampumzike popeni pema. Amina.

makavulive said...

POLE SANA MAMA 'ETU KWA KIPINDI HIKI KIGUMU, TULIMPENDA SANA ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI.
Mwanga wa bwana umwangazie.. Apumzike kwa amani!

R.I.P Reverend Douglas G. Whitlow

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Pole sana Da-Chemi. Mungu akupe nguvu na amani ya kuweza kuhimili kipindi hiki kigumu kwako na familia yako, AMEN!

John Mwaipopo said...

Pole dada chemi kwa kumpoteza mumeo mchungaji Douglas G. Whitlow. Mungu awatie nguvu na awape subira.

John Mwaipopo said...
This comment has been removed by the author.
Anonymous said...

Pole sana dada Chemi, Mwenyezi Mungu akupe nguvu, hekima na uvumilivu katika kipindi hiki kiguume sana. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMINA

brazatk said...

May the love of those around you help you through the days ahead, Our thoughts (bloggers) and prayers are with you.

10GA said...

Pole sana Chemi kwa msiba mzito.
wako..
10GA[UK]

Chemi Che-Mponda said...

Asanteni wote kwa walionipigia simu na kunitumia e-mail. Nitawajulisha mipango ya mazishi yakikamilika.

Mija Shija Sayi said...

Pole sana da'Chemi, Mungu akupe nguvu.

Anonymous said...

Duh! Da Chemi pole sana.Nasikitika sana na mkasa uliokupata.Ujue tu kuwa Mungu ndie anayepanga na kuamua na sisi sote siku moja tutakwenda huko.
Mwenyezi amlaze pema.
AMIN

mdau KILI from Bulgaria

Bongo Pix said...

Pole Sana Da Chemi, hakika hiki ni kipindi kigumu kwako, kuondekowa na mwenzi si jambo dogo, naomba Mungu akutie nguvu uweze kupita salama kipindi hiki.

nami na kwa niaba ya wadau wote wa Bongo Pix twakupa mkono wa pole na Mungu ampumzishe mahala pema Reverend D.G Whilow. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE. AMEN.

Anonymous said...

So sorry dada Chemi, may the comfort of God and those around you help you during this diifult time.
Apumzike pema Reverend Douglas G. Whitlow.

Anonymous said...

Tunahitaji kumshukuru Mungu kwa yote yanayotokea au kututokea. Da Chemi, kuwa imara na tuko pamoja nawe katika maombi.

Mdau,
London

Mama Heri said...

Pole dada kwa msiba ulikupata. Ulimpenda sana mumeo, lakini mungu alimpenda zaidi. Mungu amlaze pema peponi. Amina

Anonymous said...

Dada Chemi,
Mshukuru Mungu kwa muda uliokuwa naye hapa duniani.
Mungu ni mwema sana na atakupitisha ktk kipindi hiki kigumu.
Mungu muweza yeyote na azidi kukutia nguvu na amani ya Bwana ipitayo fahamu za wanadamu ikae nawe.Amina
Pole sana na roho ya marehemu mpendwa wetu ipumzike kwa amani. Ameen

Anonymous said...

Dad Chemi, naomba niungane na wenzangu waliotangulia kutoa pole za dhati kwako, ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa ulioipata familia yako.... Mwenyenzi Mungu awape baraka katika kipindi hiki kigumu... Poleni sana!!!

Malkiory said...

Pole dada kwa kufiwa na mumeo mpenzi. Mungu awape ujasiri katika kipindi hiki kigumu. Kumbuka kuwa yote hufanyika kwa mapenzi yake.

Anonymous said...

pole sana na Mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu cha mpito,my heart and prayer goes out to you

Anonymous said...

kwani marehemu ni m-bongo au m-nyamwezi? Na mazishi yatafanyika hapa au yatasafirishwa?

Kaka Trio said...

Pole sana Da' Chemi kwa msiba mkubwa uliokupata, Bwana alitoa na Bwana Ametwaa, AMEN.

Nuru said...

Pole sana Da Chemi. Mungu aendelee kukufariji na kukutia nguvu.

Anonymous said...

Pole sana Dada Chemi>Mungu akupatie nguvu ya kupokea haya yote kwa Imani kuu, kuwa siku mmoja wote tutakutana katikauzima wa milele

Jeff Msangi said...

Da Chemi,
Pole sana kwa msiba uliokufikia.Bwana alitoa na Bwana ametwaa.Mungu akupe ujasiri,wewe na familia yako,ndugu,jamaa na marafiki.

Pumzika kwa amani Reverend.

Anonymous said...

pole kwa msiba mola yupo pamoja nawe

Anonymous said...

pole sana mdogo wangu.may God give you the strength at this difficult time.you have brought so much joy into my life and i am so sad for you my dear.if i could come to cambridge to be at your side ... but please accept my prayers for you and your family, in laws friends and associates

Anonymous said...

Pole sana Chemi. Mungu akupe nguvu na kukufariji.

Anonymous said...

Pole sana Dada Chemi na familia nzima. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mungu umlaze pema peponi Rev. Whitlow. Ndomba

Dinah said...

Mungu akusaidie, akupe nguvu na Uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu cha kuomboleza.

Mungu ampokee Rev. Douglas G. Whitlow na kumpumzisha kwa amani.

Pole sana Da' Chemi kwa Msiba uliokufika.

Anonymous said...

Pole sana Chemi. Mwenyezi Mungu akujaze faraja zake ili uweze kuukabili msiba huu mkubwa uliokufika. Sote tu mali Yake na Kwake tutarejea; ametutangulia tu. Tunamuombea kwa M'nyezi Mungu roho yake ipokelewe, na kuwekwa mahali penye mapumziko ya milele. Amen

Mdau
London

Anonymous said...

Pole sana Chemi. Mwenyezi Mungu akujaze faraja zake ili uweze kuukabili msiba huu mkubwa uliokufika. Sote tu mali Yake na Kwake tutarejea; ametutangulia tu. Tunamuombea kwa M'nyezi Mungu roho yake ipokelewe, na kuwekwa mahali penye mapumziko ya milele. Amen

Mdau
London

Tram Almasi said...

Da chemi Pole sana Mungu Akupe Nguvu na Ustahmilivu kwa msiba mzito.

Anonymous said...

Pole sana kwa msiba.

Anonymous said...

Pole sana kwa msiba.

Tvzkicartoon said...

Pole sana mpendwa wetu Da Chemi, nimesikitika sana kupata habari hii, lakini kazi ya Mola hii haina makosa, InshaAllah Mwenyeezi Mungu atakupa subra na kukufariji katika kipindi hiki kigumu wewe na familia yako.
R.I.P Reverend Douglas Whitlow. Amen.

Kibabu said...

Da' Chemi, pole sana kwa msiba mzito. Mola akupe moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Roho ya marehemu ipumzike mahali pema peponi, Amen.

Anonymous said...

POLE SANA DADA CHEMI KWA MSIBA ULOKUFIKA

Mecky said...

Pole sana, Chemi.
Sote tunaelekea huko huko, yeye ametangulia tu.
May God his rest his soul in Peace.

Mecky and Fatma

shamim a.k.a Zeze said...

POLE DA CHEMI....MUNGU AKUTIE NGUVU...NA AMLAZE MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI

fatma said...

jamani da chemi pole sana, mungu akupe nguvu na subira kwa wakati huu mgumu. tuko nawe!!

Shally's Med Corner said...

Pole dada Chemi. Mungu akupe subira wewe na familia yako na amlaze pepeni marehemu mume wako.

simbadeo said...

Da Chemi

Pole sana wewe na familia yako. Ni msiba mkubwa. Tupokee ya Maanani.

Amina.

Martin said...

You have my sincerest condolences in this very difficult period for the lose of you husband. You will be in my prayers, God will see you through this. Mungu amlaze hayati pahali pema peponi Amina

Mbu

Amelda said...

Pole sana kwa msiba Da Chemi, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu na ampumzishe peponi mmeo.

Anonymous said...

R.I.P.

SIMON KITURURU said...

Pole sana DA CHEMI!

Anonymous said...

Pole Dada...
serina.

mumyhery said...

Pole sana dada Chemi, Mungu akupe moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu

LaMbegu said...

RIP the Rev. and may the almighty grant you peace and strength during this tough period Da Chemi.