Tuesday, January 26, 2010

General Lee Platt Apata mkataba wa KuRekodi!

Ukiwa na ndoto siku mja unaweza kufanikiwa. Ona huyo Mzee General Lee Platt (62) alijaribu bahati yake. Kaenda kwenye majaribio (auditions) za American Idol ingawa alikuwa na umri mkubwa. Ingawa hakuchaguliwa kwenda fainali hivi sasa ni staa. Na amepata mkataba, utaona video na CD hivi karibuni!

http://www.gather.com/viewArticle.action?articleId=281474978005721&grpId=3659174697244816

2 comments:

Anonymous said...

Kweli Marekani you can be a star with just a silly creative thing, I saw this kuna wengi kama yule wa mwaka juzi aliyemwambia simon I am your brother alivyokuwa famous, good luck general!!!!

Anonymous said...

mzee huyu nimeona anaimba kwenye grammy awards kashatoka