Thursday, September 30, 2010

Josiah Kibira University in Bukoba
This summer, president Jakaya Kikwete was in Bukoba to attend the 100 anniversary of the Lutheran Church in the area. As part of those festivities, Josiah Kibira University College was dedicated.

In his speech, Kikwete noted that it was about time for Bukoba to have a university since Bukoba people are known to be "Nshomile" (Booksmart) and yet had no university in the area. The comment was all in good fun, the crowd reciprocated with a weak cheer and laughter.

To see the abbreviated version of that speech CLICK HERE

To read more on the college, CLICK HERE

4 comments:

emu-three said...

Nshomire...kwani Kikwete ana utani na Wahaya?

Anonymous said...

Wahaya wameelimika. Wanapenda sana elimu. Wakati Mwalimu aliopopumbaza watu na kusema eti watu wasiongee English ni kasumba wao waliendelea kuongea.

Anonymous said...

Ukiona hivyo ujue ya kuwa JK ameshindwa kufikia matarajio yao. kwa maana nyingine kawaangusha.

Hivi kweli hata ningekuwa mimi Askofu, mtu ambaye ni mkuu wa nchi anaposema hajui kwanini Tanzania ni maskini ingali ina raslimali zote za kuifanya nchi eiendelee,utamuungaje mkono? maisha ya walioko vijini na mijini yanazidi kuwa magumu kila siku, idadi ya maskini inaongezeka kila kukicha. unamuuliza baba mwenye nyumba anasema hajui kwanini. Pili ikumbukwe kuwa JK wezi wa pesa za EPA waliwapa muda wa kurudisha ingali akina Mramba , Yona na Mgonja wakapelekwa mahakamani. Utamuungaje mkono hapo JK. Ni sheria au katiba ipi aliyotumia kuwapeleka mahakamani na wengine kutowapeleka? Hata wewe ungekuwa askofu usingerudia kauli ile zaidi ya kuomba toba kwa mwenyezi mungu.

Hizo sifa unamwagia Jk, mwambie aende kwenye mdahalo na wagombea wenzie ili atetee kama kweli analo la kujivunia. Hata wabunge wake wamezibwa midomo. Sasa huyo Askofu ujasiri atautoa wapi wa kumuunga mkono JK????????????

Maaskofu ni kweli walifanya kosa kwa kusema Jk ni chagua la Mungu, naamini wanajutia ile kauli kwa jinsi walivyowangusha watanzania. Lakini Wanaccm hawakujitokeza kusema Maaskofu wamefanya faulo kama ambavyo umejitokeza leo kuona hayo mapungufu. Hivi wangesema leo tena Jk ni chaguo la Mungu ungeandika hayo??????????????

Leo hii mtu akimuuliza JK maisha bora kwa kila Mtanzania yako wapi????????? hana jibu, zaidi atasema hamuoni gari zilivyo jaa Dar es salaam kila mmoja ana gari ndo maana kuna msongamano mkubwa. Hayo ndo maisha bora?????????????

Huyo Prof Lipumba kama ana uzoefu kuliko wengine, wewe ndiye uliyemuona. isistoshe Lipumba wanamjua toka akiwa mshauri wa uchumi wa Rais Mstaafu Mwinyi. Uchumi wetu ulikuwa sana na mfumuko wa bei ulikuwa chini, Serikali haikufunga mashule kwa migomo, watumishi hawakukopwa mishahara na watoto wengi walisoma na watumishi kama walimu na manesi hawakuacha kazi na Mkapa alikuta hazina kuna pesa lundo na madeni ya nje kidogo. Hizi tungetarajia ziwe sifa za Prof. Lipumba ambaye alikuwa mchumi wetu. Lakini yote niliyotaja hapo yalikuwa kinyume. hizo ndizo kero za kipindi cha mwinyi mambo yalikuwa magumu kuliko kawaida. kusoma kulikuwa hakuna maana tena wakati huo. Hivi hao maaskofu hawawezi kuona haya????????????????

Watanzania wote tunakubali kuwa adui wetu mkubwa ni rushwa na ufisadi, ndani ya chama kimoja haiwezekani. Na hii imedhihirishwa na JK mwenywe katika kushughulikia hili. Hatuhitaji mtu mwenye ujasiri nusu kama wa JK, tunahitaji mtu ambaye ni jasiri kweli, ambaye anaweza hata kumtaja mkuu wa nchi kuwa mwizi bila woga mbele ya umma. JK kwa wanaCCM ndo jasiri kuliko wote suala la rushwa lakini ameshindwa kuimarisha uchumi wetu thamani na mfumuko wa bei unatisha tunarudi kwa Mwinyi tena.

Lakini Dr Slaa ni jasiri kwa watanzania wote pamoja na wanaccm, ambaye alithubutu kutaja orodha ya watu 11 mafisadi wakuu wa nchi hii na JK akiwemo lakini mpaka sasa hajawahi kukanusha na hata wenzie waliotishia kwenda mahakamani tena wengine wana weredi ya sheria maarufu wameshindwa hata kunusa mlango wa mahakama.

Sasa hao maaskofu, watautoa wapi ujasiri wa kumuunga mkono huyo JK????????

Anonymous said...

Hizi tafsiri..."Baba Askofu" = "Dear Bishop"?