Saturday, September 11, 2010

Kumbukumbu - Maafa ya Septemba 11, 2001

Leo ni miaka tisa tangu siku ya 9/11/01. Ni siku ambayo magaidi wa Al Qaeda waliteka ndege na kusabisha vifo vya watu karibu 3,000! Wengi walikufa Twin Towers zilivyoanguka new York, lakini pia tusisahau watu walikufa Pennsylvania na kwenye Pentagon huko Washington D.C.

Waliokuwepo duniani sikuhiyo hawatasahau walikuwa wapi na walikuwa wanafanya nini wakati wakisikia habari ya tukio. Na ni siku ambayo Marekani ilibadilika.

No comments: