Sunday, September 12, 2010

Kibonge Afurahisha!Huyo mama alifurahisha watu na uchezaji wake, alikuwa mwepesi kweli ingawa kibonge. Alikuwa anaongoza gari katika msafara wa Festival leo hapa Cambridge, MA.

1 comment:

Anonymous said...

Damu ya afrika inachemka hapo! Angependeza kama angevaa khanga.