Friday, June 28, 2013

King Mswati III wa Swaziland Alioptua Tanzania

Mfalme Mswati wa Swaziland ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria
Mkutano wa 'Smart Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu
 

 Mfalme Mswati III kaingia dar Kiafrika Zaidi.. Anadumisha utamaduni wa kiafrika! Mh. Bilali angevaa lubega naye!King Mswati Akisalimiana na Makamu wa Rais Mh. Mohamedi Bilali


No comments: