Thursday, June 13, 2013

Nani Kidume?

Nani Kidume?  Binafsi naona wote wawili wanahitaji kula ugali zaidi!

7 comments:

Anonymous said...

Hao wagonjwa wa TB au UKIWMI! DOH!

Anonymous said...

Wanaonekana kama wanakufa njaa! Wamekonda mno!

Maria said...

Doh jamaa ni skeleton lakiki kajaliwa mzinga wa mhogo!

Anonymous said...

hii lazima itakuwa Uganda hii. Tanzania hakuna watu wa dizayni hii.

Anonymous said...

Hiyo hospitali ya wagonjwa wa TB nini? DUH!

Anonymous said...

Yes. Huyo wa kushoto ana mtarimbo balaa.

Anonymous said...

Dah! Yaani hizi njemba ukizipuliza zinaanguka. Hawa wanahitahi matibabu ya dharura.