Monday, June 10, 2013

Msanii Kashi Afariki Dunia

Wasanii wengi wa Tanzania wamefariki dunia katika kipindi kifupi.  Leo nimesikia kuwa msanaai Kashi ametuaga. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Amen.

******************************

Kutoka Swahili World Planet Blog:

Habari zilizotufikia ni kuwa muigizaji wa filamu Jaji Hamisi maarufu kama Kashi amefariki dunia leo hii katika hospitali ya Muhimbili. bado hatujajua chanzo cha kifo chake lakini tutawaletea updates. Kashi alikuwa muigizaji mwenye kipaji cha hali ya juu katika filamu, pia aliwika na kundi la Shirikisho msanii Afrika lililokuwa linaonyesha michezo yake ITV.  Rest in peace Kashi

Msanii Kashi

The Late Kashi

2 comments:

Anonymous said...

Watanzania tuna ujinga sana, mtu amekufa tunaogopa kueleza ugonjwa uliomuua. Tuwatumie hawa ma-celebity wetu kutuhamasisha kama ni ugonjwa wa moyo au HIV tuambiane itaokoa maisha ya wengi.

Anonymous said...

TUMECHOKA KUZIKA WASANII MASKINI WENYE MAJINA MAKUBWA