Sunday, June 09, 2013

Acheni Mchezo wa Tigo Jamani!

Wadau, nasikia huko Bongo mambo ya Tigo yanashamiri. Wanasema ni kwa sababu ya video za nchi za magharibi na Asia. Nilisikia hiyo habari hata nilipokuwa Dar mwaka juzi. Wanaume walikuwa wanasema mwanamke akijamba ina maana yuko tayari kufanya Tigo (kulwiti/kufirwa). 

Aathari za mchezo wa Tigo ni nyingi. Baada ya muda huko myuma pana legea, haja kubwa haikai, mimavi inatoka kila saa. Itabidi mvae nepi!  Lakini midume haiogopi mavi kuingia kwenye ume zao na kuwasababishia magonjwa?

Halafu nasikia wanawake wanakubali kutoa nyuma kwa kuhofia wanaume wao hawatawapenda au watawaacha na kwenda kwa wengine. Mchezo wa Tigo ni mbaya na miili yetu haikuumbwa kwa ajili ya mchezo huo mchafu!

************************************Mdau Hildegard Kiwasila alitoa ushauri huo kwa dada fulani ambaye alikuwa anajadili ampe mpenzi wake nyuma kwa vile alihofia atamwacha:
 
Tatizo ni la wanawake, mwanamke anapopenda anaingia mzima mzima anapenda kwa moyo, kichwa, tumbo, miguu, macho anakuwa haoni kingine tena na masikio-kiziwi haoni na kusikia mifano ya wenzake. Hakubali.

Ndio maana mwanamke au msichana akiachwa na boyfriend au mume-anachanganyikiwa kuliko mwanaume na anawerza kujiua au kufeli mitihani. Na ikiwa huyo ni bwana wake wa kwanza aliyemtokea-ndio haoni kabisa kipofu, hasikii na anaweza akaharibu masomo au kazi kama ataachwa ghafla. Hivyo anapata tabu kuamua aachane naye anaona kama mbingu itashuka imuangukie, bora avumilie hivyo hivyo baadae kicha kinakuja kuchanganya.

Mwenzake huyo alizoea siku nyingi ila alikuwa anamlia time tu amzoee ili amwambie. Yeye-alishindwa kugundua au kutambua alama za nyakati.

Ndio hao wanawake wasio maamuzi. Mume anabaka housegirl anatia mimba, anambaka mdogo wake anayeishi naye au mwanae wa kufikia anawazalisha wote bado mke yup radhi kuficha evidence amwache aende jela naye akasulubiwe huko eti anampenda, hataki afungwe kama amekosa amemsamehe. Hapo ndio sheria za nchi zinatakiwa zimkamate na huyo mama msicha siri akalale ndani na mume pia.
Akikataa uchafu huo eti mume analeta bibi wa nje  kwa vile yeye hataki hiyo Tigo na anamlazwa chini au mke unalala na watoto chumba kingine na bado upo.

Tujifunze ujasiri na kuweka kuwa na maamuzi. Atakapokubali na kuharibika ataachwa pia atatafuta mwingine. Madhara ni mengi sana pamoja na kuambukizwa magonjwa ya zinaa, kuchubuka maana huko hakukuumbika kwa kazi hiyo na mengine kisaikolojia.

Zipo study nyingi sana za sexual violence, sexual abuse na extent of sodomy in Tanzania zilizofanywa na wadaktari na wengineo Muhimbili, NGOs.

Binafsi nimefanya ya sexual abuse kwa wanafunzi Kilosa, Lindi, DSM na ya Extent of Sodomy TZ sample dar, bagamoyo, ZNZ na kujumlisha na ile ya sodomy kwa wanafunzi. Sodomy ni tatizo ktk ndoa. 1% ya ndoa huathiriwa na suala hili. Wanafunzi mashuleni sexually active waliofanya sodomy tulipata ktk sampo yetu 67% wanaongoza kwa hiyo Tigo. Hufanya jambo hili kuzuia mimba. Wanaume mpaka wa umri wa 26 waliripoti kubakwa/kulawitiwa. Wanaume (2%) walitoa taarifa ya kufanyiwa mchezo huu na waajiri wao mpaka baba mwenye nyumba kwa vijana houseboys au waajiri wenye maduka anakofanya kazi (hawa umri mdogo). Wanaobakwa umri mkubwa huwa ni mpango na ushindani kibiashara, kugombania mwanamke/msichana, kufumaniwa. Unasukiwa zari ili uhame eneo la ushindani au umuache mwanamke mnayegombania baada ya kukutumia vijana bangi bangi wanakutesa na kukupiga picha na kukutishia kuziweka hadharani; au kukutangaza na ukipita watu wanakucheka au ulitendewa ukaachwa hoi ukaokotwa huna nguo na umechafuka.

Wanaume tuliowahoji ambao walitoa taarifa za kubakwa tuligundua kuwa ndio waundao magenge ya ubakaji. walipoulizwa  kama wataendelea na sodomy walisema 'Yes'. why? alijibu-anapomfanyia hivyo mtu 'me' au 'ke' anapata ahuheni au nafuu kisaikolojia kuona kwamba amemuadhibu mtu kama yeye alivyoadhibiwa kwa kumfanyia hiyo Tigo. hawa wanaume hawapati ushauri nasaha na hawajitokezi kama wanawake wabakwao. Yupo baba mmoja Dodoma alibakwa akitoka kulewa pombe alifariki kutokana na depression ya kufanyiwa tendo hilo. Yupo yule aliyetolewa ktk gazeti ambaye alikuwa akibaka wake za watu (Dodoma). akawamaliza mjini eneo lake na akaanza kuwafanyia wanaume (Kiuchawi) akakamatwa nyumba ya mlokole mmoja anayesali sana uchawi ukaishia hapo. Ndipo aliposimulia yote aliyofanya. Wapo wengine wana mapepo na wapo watumiao uchawi wasionekane bali wanafanya uchafu majumbani mwa watu na mashuleni. Hawa wana laana. wapo wanafunzi wanaofanyiana wenyewe kwa wenyewe au kuonea wale wadogo kuwaingiza machakani, mabanda mabovu etc. Fundisha mwanao vizuri aepuke haya.

Wapo ndugu unaokaa nao na kuwalaza na watoto wako wadogo hao ndugu au mgeni aliyekuja, au kulala na houseboy, shamba boy/mfuga mifugo wako wa dairy cattle DSM-hawa tazama weka onyo kwamba ukimsikia na kupata taarifa kwa mtoto utamfunga tu. waelimishe na watoto ambao hutishiwa na kuhongwa visent, kaka anampenda sana na kumlea vizuri kumbe anamuharibu wewe hujui. kagua watoto me na ke mbele na nyuma ili nao waogope na hao waishio nao. Usichanganye watoto wakubwa na wadogo ktk malazi kutokana na uhaba wa vyumba na kuchanganya watoto wa umri tofauti-wengi wameharibika na ndio chanzo cha ushoga-anazoea.

Wapo changudoa ambao ni Toigo na Voda kwa bei tofauti hawa huharibu waume za watu. Anapozoea-inakuwa tatizo ktk ndoa. Tulipowahoji wale ambao walifanya mchezo huu mbaya kimila na maadili ya kiafrika na kidini:-wale walioanza na wasichana mambo ya Tigo-HAWAKUWAOA HAO WALIOFANYA NAO HAYO. WALIOA WENGINEO AMBAO HAWAKUENDELEA NAO HAYO. Wasichana/wanawake walioanza mambo hayo shuleni walipoolewa-hawakufanya na waume zao ambao hawakuomba suala hilo na wala mume hakujua kama huyo alishafanya hivyo. Ni wachache sana waliolazimisha wake zako kufanya tendo na kutishia talaka, moto unawaka daily na anakwenda nje anamaliza mambo yake anarudi apendavyo. kama wewe hutaki, wenzako wanataka-bye-anatoka!!

Utafiti huu tulifanya 1997 na tuliangalia kama mchezo huu mtu alianza kwa sababu ya kuwa pwani (sample, DSM, Bagamoyo, ZNZ). Utafiti haukuona uhusiano wa kuwahi kuja au kuishi Dar na kupenda upotofu huu wa Tigo. Mtu alianza akiwa Songea, Iringa, Mwanza, Mbeya. Ni pale yalipomkuta maisha na matatizo hayo akiwa dar au popote pale kwani tuliangalia alizaliwa wapi Tigo, kabila lake na Dar, Bgmoyo, ZNZ kafika lini. Mazingira  ya maisha ni muhimu zio kuwa Pwani au visiwani. yupo ambaye aliweka alama ya vema kuonyesha akiwa mwanaume-ameolewa, ameoa, ametalikiwa na ametaliki. Hii ilituchanganya. Lakini alikuwa na bwana (sodomy-kama gay) akaachwa na bwana; akaoa akaona haimfai akamuacha mke -akataliki.

Utafiti tumeuendeleza kila mwaka alipopatikana mtu au kikundi cha masuala haya hadi sana. Tumeongea na bisexuals, gays, transgender na lesbians. Tumeangalia pia alianzaje akiwa wapi na circumstances, anaishije, maisha na matatizo. Tusijidanganye, matatizo ni makubwa sana na source 80% ndani ya familia kunatoka watu hawa. Sasa wale ambao ndio wateja wa gays wamebadilika sura na gays wanakotoka imebadilika sana kidini (imechanganyika) na kikabila uelekeo umebadilika na huwezi kuamini. sitoongea hapa.Aina za gays na lesbians ni nyingi pia sio moja tu. Ndani ya familia (ndoa) na mahusiano kwa sasa kuna usumbufu zaidi wa watu kupenda haya unayoongea hapa tracy pamoja na kuwepo ukimwi na elimu juu ya magonjwa ya STDs na cancer za koo kutokana na watu kufanya mila iliyokataza. sio sigara tu kuleta cancer au viroba na mengine yaingizayo virus kooni. Waafrika hatupendi kuongea ukweli-tunajidanganya lakini nyuma ya pazia-ndio wenyewe.
Tukazane na maadili ya kiafrika katika mahusiano. Kiafrika mume akitaka Tigo ilikuwa ni leseni ya ndoa kuvunjwa. wapo wanaowafundisha wasichana wasiojua kuwa hiyo ni njia ya kawaida ya mapenzi nao wajinga hawajui. watu wa race nyingine hutumia Tigo kama uonevu na kukomoa kuchezea hao masikini si unampa hela. Wanawapangia vyumba/nyumba lakini akirudi kwake unamuona kama mtu safi mheshimiwa lakini amempangia shoga hata kama home hafanyi hivyo na mkewe.

Siku mke akimfumania mumewe na shoga marafiki wakimtonya-anamvaa shoga na kumpiga mume anamuacha-analinda ndoa na penzi. Yawezekanaje kakijana kadogo kamlazimishe baba mtu mzima ambaye ni mumeo umemfumania lakini humpigi? unaleta umma kumpiga shoga? shoga wamelalamika mengi wanapokamatwa na kuwekwa korokoroni. Sitosema hapa.

Huenda kitabu kitatoka kabla mwaka kuisha ili tujione katika kioo chetu wenyewe tuavche unduma kuwili. NGO yetu imetibu kwa kujitolea watoto wanafunzi wanaobakwa majumbani na njia ndefu ya kwenda wenye STDs (kilosa) na kujaribu kufikisha mahakamani baadhi ya kesi za ubakaji-ikashindikana kutokana na rushwa; mila za kiafrika za usiri kufanya mke, ndugu kuzuia na viongozi wa kijiji kutokutoa ushirikiano.

Asiyefahamu afahamu haya ni ya ukweli si porojo. Chunga wanao na vijana wako, akizoea anakuwa anataka haya ktk ndoa.

Mkundu enye ugonjwa shauri ya mchezo wa Tigo! Lazima anapata taabu wakati wa kunya! (Samahani kwa lugha lakini ukikubali kufanyiwa vituko ndo maneno yenyewe!)


 *************************************************

Kusoma habari zaidi za jinsi vijana wanavyooza Bongo kwa mchezo wa Tigo BOFYA HAPA:

21 comments:

emu-three said...

Hii ni hatari, na kwakweli tunakokwenda ni kubaya, na cha ajabu haya yanafanywa na wanaume kwa wanaume pia na kuona ni jambo la kawaida tu.
...je ni kweli tumefikia hapo kwa kutokumjali mungu, ina maana hatukumbuki kisa cha SODOMA NA GOMORA...Tunaitafuta GHARIKA, au tunaona hizo ni hadithi tu...

clara said...

ina maana wewe da chemi mchezo wa tigo huupendi? kama huupendi pole shosti, wacha tuupendao tule raha zetu.

Anonymous said...

Ni raha kufira. Mkundu uko taiti sana! Kama kufa wote tutakufa!

Anonymous said...

Asante sana Da Chemi kwa kuelimisha watoto wetu kuhusu tabia chafu sana ya Tigo. Watoto wameoza siku hizi!

Anonymous said...

Binafsi sioni raha mpaka nitie nyuma.

Anonymous said...

huyu Da Chemi nyuma kapigwa pasi nini? Mwanamke aliyefungasha nyuma lazima umruhusu wa kunyumba wako milango yote ati.

Anonymous said...

Da Chemi ugonjwa ni ajali kazini tu!

Andy said...

Nakubali ni hatari zaidi kufanya tigo, na pia nakubali porn inawabidi wengi zaidi kujaribu tendo hili, lakini iko historia kutoka zamani ya kufanya hiyo... kwa maoni yangu watu wawili wakikubali kihalisi, ni haki na uchaguzi wao kufanya yoyote! Vilevile iko njia kupunguza hatari za kufanya tendo hilo.

Andy said...

Nakubali ni hatari zaidi kufanya tigo, na pia nakubali porn inawabidi wengi zaidi kujaribu tendo hili, lakini iko historia kutoka zamani ya kufanya hiyo... kwa maoni yangu watu wawili wakikubali kihalisi, ni haki na uchaguzi wao kufanya yoyote! Vilevile iko njia kupunguza hatari za kufanya tendo hilo.

Anonymous said...

SAMAHANI DADA CHEMI, HIVI KWELI DUNIA YA SASA SI AFRIKA , WALA ULAYA NA MAREKANI HIVI UNAJUA STUDIES ZINASEMAJE? ASILI MIA 76 YA WANAWAKE DUNIANI WANATOA TIGO KWA WAPENZI WAO AU WAUME ZAO. LAZIMA TUKUBALI HUO NDIO UKWELI . KWA HAPA BONGO KAMA MWANAMKE HATOI HIO KWA KWELI NI VIGUMU SANA KUISHI NA MPENZI WAKE KWA MUDA MREFU LAZIMA ATOE ILI AWEZE KULINDA NDOA YAKE AU PENZI LAKE

Anonymous said...

Wow!

Anonymous said...

Dah! Huyo jamaa aliyeushughulikia huu mkundu ana umme wa chuma?

monmontiz said...

Napenda mkundu sana kweli kuma naona raha kidogo tu.mwanamke anaye hitaji anichek nalipa cash money

monmontiz said...

Napenda mkundu sna nalipa Cash money

monmontiz said...

Napenda sna mkundu mm

monmontiz said...

Napenda sna mkundu mm

JOSHUA SIAO said...

Nipe mawasiliano yako clara

Dennis Joseph said...

Tusijidanganye tigo inadumisha mahusiano. Nani humu anaweza kuoa demu anayemla tigo?? Ukioa mwanamke ukagundua nnyuma kashafirwa sana utachukulia poaa?? usiongee tu kufurahisha baraza unafira madem unakuja kujua dada yako wanamfira utachukulia poaa???

Dennis Joseph said...

Tusijidanganye tigo inadumisha mahusiano. Nani humu anaweza kuoa demu anayemla tigo?? Ukioa mwanamke ukagundua nnyuma kashafirwa sana utachukulia poaa?? usiongee tu kufurahisha baraza unafira madem unakuja kujua dada yako wanamfira utachukulia poaa???

Mfiraji Mkundu said...

Natafuta Mwanamke anayependa kufirwa Mkundu. Awe na Sura Na Mwonekano Mzuri. Nina Mboo Kubwa Na Ndefu. Nina Uwezo Wa Kufira Mkundu zaidi ya masaa 4 bila mboo kulala au kukojoa. Niandikie Email kupitia mfiraji101@gmail.com

Mfiraji Mkundu said...

Natafuta Mwanamke anayependa kufirwa Mkundu. Awe na Sura Na Mwonekano Mzuri. Nina Mboo Kubwa Na Ndefu. Nina Uwezo Wa Kufira Mkundu zaidi ya masaa 4 bila mboo kulala au kukojoa. Niandikie Email kupitia mfiraji101@gmail.com