Friday, July 26, 2013

Onyo Kwa Wanapoenda Kusuka Mwenge

Nimetoa hii onyo Facebook. Sijui kama kuna ukweli ndani yake lakini miaka ya 1980's kitu kama kii ilitokea Manzese.


9 comments:

Anonymous said...

Oh hoooo! Ndo maana mama fulani alienda kusuka Mwenge na alivyotoka kaseme kichwa kinamwuma sana mwisho kawa kama mwehu!

Askofu Dhakri Kikobe said...

Mtu anayeamini miujiza ya kakobe, au babu wa loliondo; ndiye anayeweza kuandika utumbo kama huu.

Anonymous said...

I believe the headaches are caused by the braiding being too tight, AND/or a bit of poison administered (on purpose) in drinks offered to the clients (wanaosukwa)~ I doubt it though, OR some kind of oil (INNOCENTLY and UNKNOWINGLY, containing some kind of poisonous chemicals) placed on the scalp.

Other than that, I DON'T think it's anything to do with 'majini' NOR witchcraft.

Anonymous said...

kuharibiana biashara tu hamna lolote..karne hii 21 mtu unaweza kuwaza utumbo huu kweli???

Anonymous said...

Whoever wrote this needs to have his/her head examined. Tanzania itabaki nyuma daima kama tutaendelea kukumbatia ujinga kama huu.

Anonymous said...

Bongo bado tuko Zama za Mawe (Stone Age).

Anonymous said...

Miaka iliyopita, Tanzania ilikuwa inaendelea (MBELE) vizuri. Siku hizi, ni kama inazidi KURUDI NYUMA!

Anonymous said...

COINCIDENCE COINCIDENCE COINCIDENCE!

Anonymous said...

Jamani tunashangaa nini wakati Watanzania bado tunaamini ushirikina? Siku hizi kila mahali Dar es Salaam kuna vibao vinavyotangaza huduma za waganga wa kienyeji. Si ajabu kuona kibao kinachosema, kwa mfano:

DR TIMBWILI KUTOKA SUMBAWANGA
* UTAJIRI
* KUPANDISHWA CHEO
* KUMVUTA MPENZI
* NGUVU ZA KIUME
* BIASHARA
* KISUKARI
* UKIMWI
PIA ANAINGIZA AKILI ZA DARASANI KICHWANI