Friday, July 26, 2013

Wanaume wa KiTanzania Wakamatwa na Unga Hong Kong!

Jamani, WaTanzania kwa kutafuta pesa za haraka! Sasa hao midume miwili inaweza kunfungwa maisha huko Hong Kong shauri ya kukamtwa na Unga! Mnachafua jina la Taifa yetu na kusabisha wasafiri wenzio kupata shida zisizo na maana safirini!

*************************
Asante sana Dada Subi kwa Taarifa hii:
Picture
Hong Kong Customs yesterday (July 25) detected three drug trafficking cases, with seizures totally valued at $4.78 million, in the department's escalated anti-narcotics efforts to combat drugs.

Customs officers at the Hong Kong International Airport (HKIA) intercepted a 26-year-old incoming male passenger arriving from Tanzania for clearance yesterday afternoon and seized 1.6 kilogrammes of heroin concealed in two false compartments of his hand carry briefcase. The drugs would fetch a value of about $1.28 million.

Later in the evening, Customs officers at the HKIA intercepted another 45-year-old man from Tanzania for clearance. On suspicion of concealment of drugs inside his body, the suspect was escorted to hospital where he discharged 204 grammes of heroin after staying for one day. The value of the drugs was about $0.16 million. The suspect is still in the hospital.

In the same evening, Customs officers intercepted a 28-year-old man at a carpark in Tai Kok Tsui. Approximately 2.03 kg of cocaine camouflaged as snacks were found inside a plastic bag carried by him.

Customs officers later escorted the suspect to a domestic flat nearby for a search and seized 1 kg of cocaine and 290 grammes of crack cocaine there. The total value of the seizure was about $3.34 million.

A Customs spokesperson said today (July 26) that all three suspects in the three cases were arrested for drug trafficking. The cases are still under investigation.

Under the Dangerous Drugs Ordinance, drug trafficking is a serious offence. The maximum penalty is life imprisonment and a fine of $5 million.

Ends/Friday, July 26, 2013
Issued at HKT 23:43



KUTOKA: http://www.wavuti.com/4/post/2013/07/mwingine-tena-male-passenger-from-tanzania-detained-in-hong-kong-with-heroin.html#ixzz2aBYuEnAK


4 comments:

Anonymous said...

Tuondokee hapa, hakuna anayechafua jina la Tanzania yetu. Mtu akikamatwa na unga ni yeye ndiyo aliyekamatwa na unga, na wala siyo Tanzania iliyokamatwa na unga.

Anonymous said...

Shame on them! They deserve what's coming.

Anonymous said...

Oh heck! They should be punished severely. Those narcotics kill people.

Anonymous said...

HALLO HAO WENGI NI MAPOPO AU WEEST AFRICANS AMBAO WANATUMIA PASSPORT ZA KITANZANIA, AMBAZO HAIJULIKANI WANAZIPATA WAPI WAPI! MIMI NINAISHI HAPA HONGKONG KATIKA HOTEL NILIOFIKIA KUNA WANIGERIA WANNE AMBAO KWA KWELI NILISHITUKA KUONA WANATOA PASSPORT ZA KITANZANIA KATIKA HOTEL REGISTRATION, NILIVYOWAONA KWA KWELI HAWAELEKEI KABISA KUWA NI WATANZANIA.
USIKU MMOJA NIKIRUDI HOTELINI NILIMSALIMIA MMOJA KWA KISWAHILI KWA SABABU NILIMUONA ANATOA PASI YA TANZANIA., LAKINI HAKUNIELEWA NIKAMUULIZA WHERE DO YOU COME FROM? AKASEMA NIGERIA. BASI HAO NDIO WENGI WANAINGIZA MADAWA HAYO HOMGKONG NA KUELEWEKA KAMA WATANZANIA. SEREKALI IAMKE NA UTOAJI WA PASI KIHOLELA. SASA HAO NI WEST AFRICANI ,SIJUI WASOMALI NA WAGHANA NI WANGAPI WAMAOTUYMIA PASI ZETU