Saturday, May 31, 2014

Tanzia - George Tyson (Mume wa Monalisa)

Kutoka Facebook:

George Tyson ambaye alikuwa mume wa Monalisa, naye hatunaye tena duniani. Bongo Movie Unit mbona hata hawapati fursa ya machozi wanayolia kukauka jamani!! Poleni sana wadau na Mungu ampumzishe Tyson mahali pema peponi.

Marehemu George alifariki katika ajali ya gari.  

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:

Marehemu George TysonNo comments: