Saturday, May 17, 2014

Private Brian Salvatory Rweyemamu Azikwa Leo Mjini Dar es Salaam

 Private Brian Salvatory Rweyemamu -JWTZ  (1987-2014) amezikwa leo mjini Dar es Salaam katika makaburi ya Kinondoni. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. Amen.

The Late  Private Brian Rweyemamu 1987-2014


Picha kwa hisani ya Ikulu:

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ofisi ya Rais Bw. Salva Rweyemamu na mkewe Isabella wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
Dada wa Marehemu Private Brian Salva Rweyemamu wakiweka shada la maua wakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salva Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamuwakati wa mazishi  katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014

No comments: