Sunday, April 29, 2007

Clip from Bongoland film - Original - Juma and Mukulu

Juma on a date from the original movie Bongoland. See www.kibirafilms.com

Kwa wapenzi wa Bongoland, tazameni scene ya Juma kuonja uchungu wa maisha Marekeni!

5 comments:

Anonymous said...

Chemi..ahsante kwa ku-share nasi kipande hiki cha Bongoland..huwezi amini japo nipo hapa US for over 8yrs sijapata kuiona hii film..Huwa nakwenda TZ at least twice a year lakini sikubahatika kuiona...Baada ya kuona hiki kipande nimeamua kuagiza Bongoland pamoja na Nisamehe.. hopefully bwana Kibira si mbabaishaji atanitumia ASAP

Anonymous said...

kazi nzuri. Je inatoka lini??

Chemi Che-Mponda said...

mlalahoi,

Bongoland ya kwanza ilitoka 2003. Unaweza kununua DVD yake. Nenda kwenye website ya Kibira films. Ila wanatarajia ku-shoot Part 2 yake Bongo mwezi July. Sijui itakuwa tayari lini.

Website ni: www.kibirafilms.com

anonymous wa 6:52 ukishaziona tupe feedback. Mimi nimo kwenye Tusamehe, naigiza kama Mama Kurusumu.

Egidio Ndabagoye said...

Hii imetulia.Hii ya Juma huwa inatokea sana katika kufanikisha kumpata msichana mbinu ya kumtoa out hutumika na kama uchache huna ndio unakosa mwana na maji ya Moto!

Huyo mshkaji mwingine poa sana,kamsaidia Juma asiadhirike

Anonymous said...

Bomba sana Chemi,kazi nzuri.
Pia naomba uka cheki comment ya mtumzima, anony 5:06,pale chini, kwenye topic ya konyagi.Mtu mzima nimekuja na hoja. Naomba ujibu kwa hoja.